watoto yatima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Davido kutoa Tsh. Milioni 500 kwa vituo vya watoto yatima vya Nigeria

    Mwanamuziki wa Afrobeats wa Nigeria, Davido ametangaza kuwa atatoa Naira 300m ($197,000) kwa vituo vya Watoto yatima nchini mwake. "Mimi na taasisi yangu tunaahidi jumla ya Naira Milioni 300 kwa Vituo vya Watoto yatima kote Nigeria... kama mchango wangu wa kila Mwaka kwa Taifa...maelezo ya...
  2. K

    Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

    Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama...
  3. Stephano Mgendanyi

    Komredi Reuben Sagayika Awashika Mkono Watoto Yatima Kuelekea Mwaka 2024

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWASHIKA MKONO WATOTO YATIMA KUELEKEA MWAKA 2024 Ndugu Reuben Sagayika ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa pamoja na Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa wa Geita, Ndugu Mery Mazula wameongozana na viongozi mbalimbali wa CCM tarehe 31 Disemba, 2023 na...
  4. M

    Vituo vya watoto yatima: lisiwe lango la ushoga, tafadhali

    Kwa jina la misaada, Hawa ndugu zetu wanaweza kupenyeza agenda Yao huko. Ni ushauri tu. Kama kweli hatuutaki ushoga vituo hivi vichunguzwe shughuli zao Kwa ukaribu Sana. Na Aina ya misaada wanayopokea, NB: Hasa volunteers wanaofanya kazi humo, Ni mtihan huenda wakaleta mambo Yao Kwa Hawa...
  5. Fundi mahiri wa ujenzi

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani? Naomba hekima zenu juu ya hili.
  6. sky soldier

    Kuna siri ya mafanikio ya Yanga kwa kusaidia vituo vya watu wenye uhitaji maalum?

    Na sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye uhitaji maalum kiitwacho Orphans of El MOHAMMADIA kilichopo mjini Algiers,
  7. Bexb

    Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na...
  8. nyaggad

    Natafuta taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu hapa Dar, nataka kutoa msaada

    Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta (Ngo)taasisi za kulelea watoto yatima au walemavu zilizopo hapa Dar es Salaam, lengo kubwa kutoa msaada, anayezifahamu anielekeze tafadhali ikiwezekana anipatie hata mawasiliano yao. Asanteni.
Back
Top Bottom