mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    Mbona vitu vya electronics ni bei rahisi China? Kumbe mikoani tunapigwa hivi?

    Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories. Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo. Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
  2. sky soldier

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  3. Mhaya

    Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

    Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo. ======== Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
  4. Nyafwili

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  5. figganigga

    Madereva wa Dar, Likizo Msijiendeshe kwenda Mikoani mkidhani mumeiva kwa Udereva chondechonde!

    Salaam Wakuu, Naomba nikushauri wewe Dereva unaye endesha Gari Dar Es Salaam, Usije ukahisi umeiva kwa Udereva ukataka ujiendeshe kwenda Mkoani kula Sikukuu. Ni kweli Mungu amejalia umepata hilo Gari, lakini angalia lisigeuke Kaburi lako. Kwa barabara za Mikoani wewe ni Learner tu ukatae...
  6. Jaji Mfawidhi

    TLS yadhoofika, Mahakama yahusishwa: Sungusia amezidiwa na Makada: Wanachama 3000 toka mikoani Wazagaa Dar. Kikao chapigwa stop usiku saa moja

    Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili. "Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na...
  7. W

    Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  8. V

    Mabasi ya mikoani hususan yanayosafiri usiku yana changamoto ya ubora

    Kuna changamoto ya mabus ya mikoani hususan yanayosafiri usiku.. nimewahi kupakia mabus kama Kitumbo(Dodoma - Dar) na Kimotco (Dodoma - Arusha) kwanza kabisa haya mabus ni kama daladala maana yanasimama ovyo na kpakia watu wengi had wengine wanasimama. Mbaya zaid haya mabus huwa hawafanyi...
  9. I

    Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

    Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
  10. Lexus SUV

    Kitanda cha chuma 5 kwa 6 kipya kinauzwa kipo Moshi mjini, mikoani kinatumwa

    Habari nina kitanda kipya cha chuma kinauzwa Kipo moshi , na pia kuna BED SOFA MPYA , valvet , BED BOX , PALLET BED KAMA ZOTE.........OFISI ZETU ZIPO MOSHI...... MAWASILIANO NI. 0672701329
  11. B

    Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

    Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha. Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka. Mabasi mengi kwa Sasa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile Aitaka DMI Kufungua Matawi ya Chuo Mikoani

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi mikoani ili waweze kutoa fursa kwa Watanzania wengi kupata elimu hiyo. Kihenzile ameyasema hayo...
  13. mlinzi mlalafofofo

    Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na; Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
  14. Pdidy

    mkisafiri kwenda mikoani december hakikisheni mmeacha na wosia nyumbani ...

    si nawatisha ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe...
  15. Objective football

    Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

    Bora msema kweli kuliko kuwa mnafiki. Kijana unaye jitafuta usije jaribu kufungasha mizigo kwenda kutafuta maisha huko mikoani, watu wa mikoani ni wabinafsi, roho mbaya, majungu na fitna. Kijana ukiwa Dar una 85% za kutoboa hapa town, kapuku muuza maji leo mtafute baada muda utamkuta mbali...
  16. Lexus SUV

    Wenye uzoefu wa kupanda Malori yanayoelekea mikoani, namuomba hapa

    Habari wakuu , naomba ulizia kwa wenye experince ya waliowahi panda lori kwenda dodoma kwa ajili ya interview aje hapa atusaidie trip ilikuwaje, maana hali si hali wakuu dodoma moja... Au kwa anaejua yanakopatikana ma lori yanayoelekea mikoani kutoka dsm wakuu Kwa maana. Kiuchumi...
  17. R

    Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  18. Wadiz

    Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
  19. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  20. Y

    Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
Back
Top Bottom