Search results

  1. Abdul S Naumanga

    Tofauti kati ya kesi za jinai na madai

    Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa kama serena na team yake wameshindwa kung'amua tofauti iliyopo kati ya kesi za jinai na madai, sasa...
  2. Abdul S Naumanga

    SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya mifumo ya utawala, kama vile suala la DP World, urasimu katika maofisi ya umma, na uonevu...
  3. Abdul S Naumanga

    Ni nani aliyemuua Komando Muhammad Tamimu🤔? (Sehemu ya 3️⃣)

    "Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya mkasa huu. Kama ni embe, basi hapa tumefika kwenye kokwa, ndo kwanza utamu wa simulizi hii unaenda...
  4. Abdul S Naumanga

    Nguvu ya Wosia kisheria: Jinsi ya Kupanga Mali Yako ukiwa hai na Kuepuka Migogoro ya Mirathi baada ya kifo.

    Hii ni elimu kwa Umma, Karibu sana kujifunza Mara nyingi migogoro ya mirathi huanza pale mwenye mali anapofariki, na ni mara chache sana kuona viashiria ama hatari ya kuwapo kwa mgogoro wa mirathi ikiwa mwenye mali bado yupo hai. Hii inatuonyesha ni kwa jinsi gani kuna umuhimu mkubwa wa kujua...
  5. Abdul S Naumanga

    Je, Familia inaweza kushtaki ama kushtakiwa? Sheria inasemaje juu ya swala hili?

    Labda nianze kwakusema wazi kwamba kwa mujibu wa sheria zetu Tanzania, Familia haiwezi kushitaki wala kushitakiwa. Kuelewa zaidi juu ya swala hili, nikukaribishe kuisoma Thread hii. ANGALIZO: Thread hii inalenga kujibu swali la kisheria kuhusu uwezo wa familia kushitaki ama kushitakiwa...
  6. Abdul S Naumanga

    Njama za uhaini za kina Hans Poppe (Sehemu ya 2️⃣)

    Karibu katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana haswa na kizazi cha sasa cha Tanzania. Kesi inayomuhusisha nguli wa maswala ya michezo mzee wetu...
  7. Abdul S Naumanga

    Kwanini Hans Poppe na wenzake walitaka kumpindua Mwl. Nyerere? (SEHEMU YA 1️⃣)

    HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
  8. Abdul S Naumanga

    Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  9. Abdul S Naumanga

    Sheria ya Maafa ya mwaka 2022 inasaidia vipi wananchi kipindi cha maafa?

    Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha Taweta kilichopo kilombelo Morogoro hawana mahala pa kuishi wala chakula kutokana na janga la...
  10. Abdul S Naumanga

    Nini Hatima ya wanakijiji zaidi ya 2000 wa Tondoroni, Kisarawe waliopo katika mgogoro wa aridhi na JWTZ?

    MGOGORO WA ARIDHI TONDORONI Kesi ya ardhi namba 85 ya mwaka 2016, iliyowahusisha wanakijiji zaidi ya 700 wa Tondoroni dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Leo(03.04.24)mahakama kuu chini ya Jaji Luvanda imetupiliwa mbali kwa kufunguliwa nje ya muda (Time barred'). Mgogoro huu wa ardhi...
  11. Abdul S Naumanga

    Tetesi: Ilikuaje Makontena 329 yakapotea bandari kavu ya Azam na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 12.6? Je, Nani alicheza huu mchezo?.

    UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015) To make a long story short, Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...
  12. Abdul S Naumanga

    Je, Makonda kuteuliwa kama mkuu wa mkoa kutoka kuwa katibu wa halmashauri kuu CCM taifa (itikadi na uenezi) amepanda cheo ama ameshuka?

    Baada ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha leo hii, kumeibuka maswali na mijadala mbalimbali ikiwemo, Je amepanda cheo ama ameshuka?. Hapa nitajitahidi kieleza kadiri ya ninavyo fahamu. Ipo hivi, katika mfumo wa utawala wa Tanzania, Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa na...
  13. Abdul S Naumanga

    Kesi muhimu katika ulinzi wa taarifa zetu binafsi

    Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania. Kweny kesi hii...
  14. Abdul S Naumanga

    Haki ya usawa nchini Tanzania

    Wadau leo wacha nianze na hii story fupi kisha nitaingia moja kwa moja katika kuconnect story hii na mada tajwa hapo juu . Ok let's start:), Ilikua ni jioni tulivu katika kijiji cha Mazingira Salama, mkutano wa jamii ulikuwa umepangwa kujadili haki za wananchi chini ya Katiba ya Tanzania. Mzee...
  15. Abdul S Naumanga

    Uelewa wa maswala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa maswala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii aimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa kawaida kuhusu sheria (legal...
  16. Abdul S Naumanga

    Suala la Baraza la Vijana la Taifa linakwama wapi?

    25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha sheria hiyo lilianzishwa Baraza la vijana la Taifa, lakini chaajabu mwaka wa 9 sasa bado Tanzania bara...
Back
Top Bottom