Sheria ya Maafa ya mwaka 2022 inasaidia vipi wananchi kipindi cha maafa?

Jan 28, 2024
96
133
Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha Taweta kilichopo kilombelo Morogoro hawana mahala pa kuishi wala chakula kutokana na janga la mafuriko hali iliyopelekea diwani wa kata ya Masagati, Blasius Makao kuomba msaada serikalini na kwawadau mbalimbali kuzisaidia kaya hizo chakula.

Swali langu, hii sheria ya Maafa liyotungwa mwaka 2022 inasaidia vipi wananchi kwenye hali kama hii?
 

Attachments

  • tbc_online-20240403-0001.mp4
    50.3 MB
Back
Top Bottom