Search results

  1. K

    Ushauri kwa uongozi wa TFF

    Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache. Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye...
  2. K

    Msaada: Jinsi ya kupata gawio langu kutoka Swissport

    Ninaomba msaada wa kuelekezwa kutoka kwa yeyote kutoka Jamiiforums. Mimi ni mwanahisa wa Swissport na bahati mbaya nilipoteza cheti changu muda mrefu uliopita na sijapata gawio langu sasa yapata miaka 8. Nifuate njia gani ili niweze kupata cheti changu na gawio langu kwa miaka hiyo yote...
  3. K

    Kwanini wali unaotokana na mpunga unaolimwa katika maeneo ya nchi yetu hivi sasa siyo hauna ladha na siyo mtamu?

    Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
  4. K

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  5. K

    Maombi kwa Waziri wa Kilimo, mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki

    Kutokana na mavuno makubwa ya mpunga msimu huu tunaiomba Serikali inunue mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki. Kuna wafanyabiashara toka Kenya na Uganda tayari wameingia katika Mikoa ya Mwanza, Geita, Mara wakinunua mchele kwa bei ya kutupa kutokana na umaskini wa wakulima wetu. Zao...
  6. K

    Kama nchi tunakwama wapi kusimamia mabasi ya Mwendokasi?

    Kuna kilio cha wananchi kila kona kuhusu mabasi ya mwendokasi. Mabasi haya yanajaza pasipo mfano. Mabasi hayatoshi. Mabasi mengi yameharibika na yako yadi na hakuna matengenezo. Watu wanachelewa kufika kazini. Kutokana na tatizo hili wananchi wameombaa kuwa daladala isaidie mabasi ya...
  7. K

    Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

    Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu. Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
  8. K

    Kwanini bei ya mafuta kwa Tanzania siyo rafiki?

    Kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatangaza bei mpya ya nishati ya mafuta. Kwa asilimia kubwa kila wakitangaza ni ongezeko tu la bei na siyo punguzo. Ukichukua mfano wa nchi zote za jirani zetu bei zao ni pungufu kuliko ya Tanzania. Hivi Tanzania tuna tatizo gani na tunawabebesha...
  9. K

    Ndege ya Air Tanzania kukaa muda mrefu kwenye Matengenezo huko Malaysia

    Nchi ya Tanzania ilinunua ndege mpya aina ya dreamliner natumaini ni mwaka 2021 lakin ndege hii haina zaidi ya miaka mitatu tayari iko gereji. Ndege mpya aingii akilini mwangu. Wakati ndege hiyo inapelekwa kwenye matengenezo wananchi hatukutaarifiwa na baadaye raia mwema ndo katoa taarifa...
  10. K

    Kero ya wananchi mbele ya Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu Makonda

    Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
  11. K

    Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je NI kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?.
  12. K

    Tuwe na mpango madhubuti wa kupanda miti millioni 50 msimu huu wa mvua

    Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
  13. K

    Goli la wazi la Yanga lakataliwa na mwamuzi kwenye mchezo baina ya Yanga na Kagera Sugar

    Kwa wale wote waliofuatilia mchezo wa Yanga na Kagera Sukari lile goli la Guede lililokataliwa na refa lilikuwa goli halali na hapakuwa na kuotea. Nawashauri marefa tendeni haki ili kila timu ipate haki yake katika michezo yake yote inayocheza dhidi ya wapinzani wao.
  14. K

    Kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu wangapi bungeni?

    Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake. Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000...
  15. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  16. K

    Nimemkubali Bashe kuwa yuko imara katika kuiongoza wizara ya kilimo

    Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo. Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...
  17. K

    Stendi ya Nyamhongolo yaelekea kuwa mahame

    Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo. Serikali imeweka huduma zote zikiwapo Mabenki, Maduka, mahoteli, vyoo, ghorofa yenye vyumba vya kulala...
  18. K

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

    Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja. Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu...
  19. K

    Kamishna wa ardhi mkoa wa Geita ni mfano wa kuigwa

    Ni vema kusema ukweli. Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Geita ni mfano wa kuigwa. Wananchi wengi wa Mkoa wa Geita wamekuwa wakifuatilia HATI zao kwa muda mrefu bila mafanikio. Kila ukienda unaambiwa njoo kesho, tunaishughulikia, faili halionekani n.k. Kamishna mwenyewe alifunga safari mwenyewe...
  20. K

    Ni vema tukaelezwa ni kiasi gani DP world inailipa Serikali kwa mwezi?

    Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa. Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali kwa mwezi ili tulinganishe mapato ya Bandari kabla haijachukuliwa na DP World na mapato ya DP World...
Back
Top Bottom