Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
458
880
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.

Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.

Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.

Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.

Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
 
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja. Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500. Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs.30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000. Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani. Tuwaulize wachumi wetu Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
Sukari gani ambayo kilo ilikua 1300? Hata wakati wa Kikwete ilikua 1800, tatizo lenu wengi humu hamna majukumu ngumu hata kujua bidhaa zilikuwa zinauzwaje miaka kadhaa iliopita.
 
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja.

Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu iliyopita bei ya dizeli kwa lita moja ilikuwa wastani wa Tshs.1,500 leo hii lita moja ya dizeli ni wastani wa Tshs.3,300. Mfano mwingine chukua sukari. Miaka mitatu iliyopita sukari kilo moja ilikuwa Tshs. 1,300 leo hii kilo moja ya sukari ni Tshs.3,500.

Sasa tuje kwenye kichekesho. Jana nilikuwa kwenye mwalo moja hapo Ziwa Victoria na sikuamini macho yangu nilipoambiwa kuwa samaki moja aina ya sato ni Tshs. 30,000 karibia bei ya mbuzi wakati miaka mitatu iliyopita samaki wa uzito huo alikuwa akiuzwa kwa Tshs.8,000.

Tuna wachumi, tunaelezwa uchumi kwa Mama umepaa na mbona sisi wananchi hatuoni badiliko lolote. Huku kijijini kuna umaskini wa kutisha. Mtu kujaliwa kula balanced diet labda kuwe na harusi au sherehe fulani.

Tuwaulize wachumi wetu, Je uchumi umepaa kwa vigezo gani?.
Hatari sana tunakoenda kuna giza
 
Back
Top Bottom