Search results

  1. Kaka yake shetani

    Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
  2. Kaka yake shetani

    Tamaa za mali mpaka kupelekea mauwaji ya mtalaka wake

    Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka 25 Mkazi wa Malunga Manispaa ya Kahama. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna Msaidizi...
  3. Kaka yake shetani

    Korea Kaskazini Yatuma Puto Zenye Taka na Kinyesi Kuvuka Mpaka wa Korea Kusini Kama "Zawadi za Uaminifu"

    Korea Kaskazini ilituma mamia ya puto zilizojaa taka na kinyesi kuvuka mpaka ulioimarishwa kuelekea Korea Kusini Jumatano, ikiziita "zawadi za uaminifu."Picha kutoka kwa jeshi la Korea Kusini zilionyesha puto zikiwa na mifuko ya plastiki iliyofungwa, baadhi zikiwa na taka na moja ikiwa na lebo...
  4. Kaka yake shetani

    Fuga kuku wa kisasa kwa njia ya kienyeji utanishukuru

    Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa. Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo. Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1...
  5. Kaka yake shetani

    Hivi kwa nini wenye tabia za sodoma na gomora wana 1,2,3,4......

    Nimebaki kujiuliza yani sehemu au maeneo kuliko shamiri sodoma na gomora ndio kuna pesa sana kuanzia upatikanaji wa kipato mpaka madili. Sehemu au maeneo hayo ndio yenye maisha ya kutisha sana yani kama ushirikina,masonic na wahalifu ndio wamejaa. Kuna siku nilipita bar fulani X aisee yani...
  6. Kaka yake shetani

    Dunia inaendeshwa kwa mtindo wa siri kwa jina la 4D

    Siri ya dunia ni kubwa yenye kikundi kidogo au watawala waliopo duniani na nyuma yao kwa ajili ya kuendesha dunia. Nimeona nilete mada hii ili mjiulize kwa ufupi sana kuhusu maisha yenu na vizazi vyenu kwenye mijadala mingi mnayozuka nayo hapa JF. 4D ni jina lenye maana nyingi ila kwa mada...
  7. Kaka yake shetani

    Swala la michezo Wana JF naomba mtoe maoni hapa

    Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's . Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19. Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
  8. Kaka yake shetani

    Tujifunze kutengeneza ndoto za watoto

    Kwa wale mliofika japani au tusiende mbali sana miaka ya nyuma kabla zimbabwe ijapotea kisiasa ilikuwa nchi bora sana kwa wazazi waliotembea kuwapeleka watoto wao. Nitarudi nchi ya japani sababu ndio inaonyesha kuwa makini na watoto (samaki mkunje bado m'bichi).Japani wanaogopa sana kuzaa ,sio...
  9. Kaka yake shetani

    Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
  10. Kaka yake shetani

    Kambi za wakimbizi zilizopo kigoma mpaka leo mbona nchi hizo mbili hakuna vita

    Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna. Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu...
  11. Kaka yake shetani

    kamikaze drones za ukrain ni hatari kuliko zile za iran

    Kuna watu watabisha ila ukweli uwezi semwa kwa kipigo wanachokipata urusi na drone za kamikaze za ukraine. Hii teknolojia inaonenyesha kuwa na makali sana maana si rahisi kuikamata kama lile bajaji drone la iran. https://www.youtube.com/watch?v=IO4_fzKiycA...
  12. Kaka yake shetani

    JATU, Mr. Kuku, Vanira na sasa Kijiji cha Nguruwe

    Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi. Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida. Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
  13. Kaka yake shetani

    Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  14. Kaka yake shetani

    Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  15. Kaka yake shetani

    Dkt. Gwajima D naleta malalamiko kuhusu SHK.Zaid Makubuli na mada za ukabila kuhusu wanawake

    Nimejaribu kufichua ila lijafanyiwa kazi na serikali inatakiwa kuchukua sheria kali kwa watu kama hawa wakina shk zid makubuli kuhusu na chuki za kupandikiza haswa makabila. Dkt. Gwajima D nafahamu TCRA na wizara yako mnaweza kuwashugulikia wote walishiriki kutoa kipindi hiki online kuhusu...
  16. Kaka yake shetani

    Watu wengi watajiuliza kuhusu Iran ajali iliyotokea ila ni wajuze kuhusu Helikopta

    Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta. Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi. Idadi ya mafundi...
  17. Kaka yake shetani

    Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  18. Kaka yake shetani

    Aliyewekewa figo ya nguruwe afariki baada kuishi nayo miezi miwili

    Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili. ===== Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years. Updated: May 12, 2024 09:36 AM EST Richard “Rick” Slayman, the first person who received a...
  19. Kaka yake shetani

    Mafanikio hugeuka chuki

    Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki. Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo. USIONE...
Back
Top Bottom