Search results

  1. Nyenyere

    Mashehe wana hoja kuhusu umri wa kuolewa

    Wakuu amani kwenu, leo nami nimewiwa na haja ya kutoa mchango wangu kuhusu umri sahihi umpasao binti kuolewa. Mada hii imezua mijadala mingi nchini kwa sasa hasa baada ya viongozi wa kiimani wa Waislamu kupeleka hoja kuhusu umri wa binti kuolewa. Mimi nitalizungumzia hili kwa kuzingatia maandiko...
  2. Nyenyere

    Tatizo la Yanga

    Wakuu, baada ya mechi ya jana ya Kombe la Shirikisho sasa ni dhahiri kuwa timu ya Yanga wana tatizo la mipira ya kutenga. Kumekuwa na matukio mfululizo ya kufungwa mabao yanayotokana na mipira hiyo. Hata mechi ya jana dhidi ya Prisons mapungufu hayo yameonekana. Kocha Prof Nabi ana kazi kubwa ya...
  3. Nyenyere

    South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe: Source:
  4. Nyenyere

    Tofauti kati ya masalafi na wahabi

    Wakuu amani kwenu, With due respect naomba kujuzwa masalafi ni nani na wahabi ni nani? Ni nini tofauti zao kiimani na kiutamaduni? Je, Wanachangama vipi na Waislamu wengine wa madhehebu tofauti? Karibuni tupeane elimu.
  5. Nyenyere

    Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

    Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
  6. Nyenyere

    DOKEZO Kampuni ya simu inadhulumu wanakijiji

    Wakuu amani, Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya kuweka mnara wa mawasiliano kijijini hapo. Tatizo ni kuwa kampuni hilo halitekelezi sehemu yake ya...
  7. Nyenyere

    Hivi hakuna tena wanaume?

    Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
  8. Nyenyere

    Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  9. Nyenyere

    Dalili za awali za mke/mume mwema

    Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kudumu. Leo nitazungumzia sifa chache muhimu zaidi ambazo...
  10. Nyenyere

    Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  11. Nyenyere

    Wanawakena uongozi - I

    Wakuu amani kwenu. Wadau wengi wamenitaka niseme kuhusu msimamo wangu juu ya wanawake na uongozi, hasa wakitolea mifano kadhaa ya wanawake walioongoza katika zama za maandiko. Hoja hii nikiri wazi kuwa imeligawa kanisa kwa kiasi kikubwa sana, kwani wako wanaoamini kuwa katika Agano Jipya...
  12. Nyenyere

    Wanawakena uongozi - I

    Wakuu amani kwenu. Wadau wengi wamenitaka niseme kuhusu msimamo wangu juu ya wanawake na uongozi, hasa wakitolea mifano kadhaa ya wanawake walioongoza katika zama za maandiko. Hoja hii nikiri wazi kuwa imeligawa kanisa kwa kiasi kikubwa sana, kwani wako wanaoamini kuwa katika Agano Jipya...
  13. Nyenyere

    Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

    Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
  14. Nyenyere

    Siri ya kudumu kwenye mahusiano

    Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili. Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke. 1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
  15. Nyenyere

    Wakati sahihi kuondoa bikra ya binti

    Wakuu amani kwenu. Leo nimekuwa natafakari jinsi mambo ya mahusiano ya mapenzi yalivyo kwenye dunia yetu ya leo. Kuna swali najiuliza nabaki kutabasamu tu, hivi kweli leo hii sheria hizi zingetumika, nani angebaki salama? Kumbukumbu la Torati 22 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹³ Mtu akitwaa mke...
  16. Nyenyere

    Miziki kama bongo fleva na bolingo iwe rated 18

    Wakuu amani itokayo juu iwe nanyi. Amina. Nashauri miziki ya baongo fleva na bolingo iwe rated above 18 ili iwekwe mbali na watoto. Huwa nasikitika sana kula niwapo safarini kuona aina ya miziki inayoonyeshwa kwenye mabasi, yaani ni aibu kubwa uwapo na watoto. Halafu ni nani aliyeweka utaratibu...
  17. Nyenyere

    Sijapata kuona uzembe mkubwa namna hii!!

    Wakuu, sote tumeshuhudia wiki za usajili wa vishindo ambao umetikisa jiji kama sio nchi kwa ujumla wake. Naweza kusema matukio makubwa ya kisiasa yameweza kutulizwa na muingiliano wa mambo ya usajili wa hivi vilabu viwili. Tatizo linakuja upande wa marketing, sielewi wamepangaje hesabu zao...
  18. Nyenyere

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari? Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho Wengi hutazama...
  19. Nyenyere

    Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

    Ndugu zangu, amni iwe nanyi, Nimekuwa nikisema maandishi mbalimbali humu jamvini ambayo kwa baadhi yenu wamenichukulia kama adui wa wanawake na wengine kujifunza baadhi ya mambo ambayo yatakuwa msaada kwenye maisha yao. Pia, katika mojawapo ya mada zangu niliwahi kusema kuwa nitaandika kwa...
  20. Nyenyere

    Mabinti jifunzeni siri hii nanyi mtafanikiwa sana

    Wakuu, Amani kwenu nyote. Iko siri kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa huamua hatma ya mtoto wa kike. Ili kuifahamu tumtazame kwanza kijana mume: Mwanamume Kijana mume huanzia chini katika thamani ya maisha ndipo anapanda juu. Sababu kubwa ni kuwa mwanamume huzaliwa akiwa HANA KUSUDI...
Back
Top Bottom