Tofauti kati ya masalafi na wahabi

Kuna group la kisalafi kama utataka uungwe chini ya Sheikh Abul Fadhil Kassim Mafuta pamoja na maduaat wengine.
 
Naam, naomba kuungwa. Na huyu shehe Mafuta ndio nani tena? Au ni admin?
 
Ngoja nitoe mchango kadiri nitakavyo afikiwa, neno Salaf Luna maana mbili, kilugha na kiistilahi. Kilugha maana yake ni aliyetangulia/ aliyepita au aliyekuwapo kabla, Kiistilahi maana yake watu wema waliokuwepo (Maswahaba) wakati wa Mtume (swala na salami zimfikie) pia hapa wanaingia wanafunzi wa Maswahaba, wanafunzi wa wanafunzi wa Maswahaba (Allah awaridhie).

Sasa basi, ukisikia mtu anasema Mimi in salafi maana yake anamaanisha yeye anafuata mafundisho ya Dini ( Uislam) kwa uelewa ule wa waliotangulia akimaanisha kwanza Maswahaba na waliokuja baada ya maswahaba, kwa kifupi hiyo no kuhusu Salaf.

Ama Mahawabi ni jina walilopewa wale wote waliokubali Da'wa ya Muhammad Abdulwahhab, ambao ndio haohao Masalaf, hili jina Wahabi waanzilishi wake ni Mashia na masufi, hili lilianza pale Muhammad Abdulwahhab alipoanza harakati zake za kufundisha mafundisho sahihi ya Mtume ( swala na salami zimfikie) hii ni baada ya kuwepo uzushi mwingi (bidaa) uliotangaa wakati huo, kama vile kuabudu makaburi, na uzushi huu wasimamizi wake ni Mashia na Masufi, mpaka leo wanaendelea na bidaa hii na nyingine.

MaSalaf pia wanajulikana kama Ahalulhadith, Ahalusunna waljamaa, Firkatunnaadiya, n.k.
Kwa ufupi no hayo, Allahu a'lam
 
Asante sana mkuu. Je salaf aweza kuwa muumini wa dhehebu lolote (sunni, shia etc) ama salafiyyah ni dhehebu kamili linalojitenga na madhehebu mengine katika Uislamu?
 
Ngoja nitoe mchango kadiri nitakavyo afikiwa, neno Salaf Luna maana mbili, kilugha na kiistilahi. Kilugha maana yake ni aliyetangulia/ aliyepita au aliyekuwapo kabla, Kiistilahi maana yake watu wema waliokuwepo (Maswahaba) wakati wa Mtume (swala na salami zimfikie) pia hapa wanaingia wanafunzi wa Maswahaba, wanafunzi wa wanafunzi wa Maswahaba (Allah awaridhie).

Sasa basi, ukisikia mtu anasema Mimi in salafi maana yake anamaanisha yeye anafuata mafundisho ya Dini ( Uislam) kwa uelewa ule wa waliotangulia akimaanisha kwanza Maswahaba na waliokuja baada ya maswahaba, kwa kifupi hiyo no kuhusu Salaf.

Ama Mahawabi ni jina walilopewa wale wote waliokubali Da'wa ya Muhammad Abdulwahhab, ambao ndio haohao Masalaf, hili jina Wahabi waanzilishi wake ni Mashia na masufi, hili lilianza pale Muhammad Abdulwahhab alipoanza harakati zake za kufundisha mafundisho sahihi ya Mtume ( swala na salami zimfikie) hii ni baada ya kuwepo uzushi mwingi (bidaa) uliotangaa wakati huo, kama vile kuabudu makaburi, na uzushi huu wasimamizi wake ni Mashia na Masufi, mpaka leo wanaendelea na bidaa hii na nyingine.

MaSalaf pia wanajulikana kama Ahalulhadith, Ahalusunna waljamaa, Firkatunnaadiya, n.k.
Kwa ufupi no hayo, Allahu a'lam
Jibu sahihi kabisa. MashaAllah
 
Ooh, nilidhani admin wa hilo group la WhatsApp. Huyu ndiye kiongozi wa masalaf duniani? Kuna mdau alikomenti kuwa ni kijana wa barikhyan, maana ya barikhyan ni nini?
Salim barahyani ni mudir wa taasisi ya Ansari suna makazi yake Yapo Tanga na huyo kassim inasemekana alikuwa mwanafunzi wa Ansari baadae alienda kusoma saudia alivyorudi akawa na msimamo mwengine tofauti na Ansari suna inasemekana sijui ndio hio salafi
 
Back
Top Bottom