ulimwengu wa roho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kwenye ulimwengu wa roho maisha ni mfano wa operating system

    Maisha tunayoishi ni mfano wa operating system nikimaaninisha ukija afrika na kutoa south afrika na nchi za kiarabu kuanzia dakar uje abidjan, accra, lagos, kinshasha, nairobi, dar es salaam, kampala, lusaka n.k utagundua hii miji na mingine sijaitaja inakitu kinachofanana iko dis-organize...
  2. R

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. (Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3) MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI. Mwili una vitu vinavyoshikika na kuonekana kama Ubongo ,misuli nk nk NAFSI ni kiunganishi kati ya Roho na...
  3. R

    Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

    Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu. Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
  4. Surya

    Uthibitisho wa uwepo wa roho na ulimwengu wa roho ni ndoto

    Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida. Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
  5. Mamujay

    Ulimwengu wa roho haujui lolote kuhusu wewe kama hujatamka lolote

    Hi, Karibu uchukue nondo. Usitamke jambo kumwambia mtu yoyote kama huna uhakika limekamilika. Mtu umevalishwa pete ya uchumba, unatangaza kila kona, mtu unataka ununue gari unamtangazia kila mtu. Unajuaje wote ni watu wazuri? Kama una jambo la kheri unataka ufanye, chunga sana mdomo wako...
  6. Venus Star

    Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

    Nawasalimu wote. Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho. Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting. UTANGULIZI Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia...
  7. Nyenyere

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari? Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho Wengi hutazama...
Back
Top Bottom