Wakati sahihi kuondoa bikra ya binti

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,770
10,660
Wakuu amani kwenu. Leo nimekuwa natafakari jinsi mambo ya mahusiano ya mapenzi yalivyo kwenye dunia yetu ya leo. Kuna swali najiuliza nabaki kutabasamu tu, hivi kweli leo hii sheria hizi zingetumika, nani angebaki salama?

Kumbukumbu la Torati 22 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹³ Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
¹⁴ kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
¹⁵ ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
¹⁶ na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
¹⁷ angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
¹⁸ Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
¹⁹ wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
²⁰ Lakini likiwa nikweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
²¹ na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Yaani jamaa baada ya kumwoa mke, alipomuingilia kwa mara ya kwanza ilikuwa lazima akute kiwambo, na ushahidi ni kitambaa cheupe ambacho alikihifadhi baba wa binti kama ushahidi wa kumlea vema binti yake baada ya kiwambo kuondolewa.

Afu mambo ya aibu yaliyompata jina baya binti ni KUTOKUWA BIKRA WAKATI WA KUOLEWA. Hii ilikuwa aibu kuu na imeendelea kuwa hivyo kwa Mungu, kwa wanaoelewa maana!!

Hivi kwenye dunia ya leo ardhi yetu ingejaa makaburi ya kina dada!! Hii haijalishi, hata familia nyingi tu za kikristo mawe yangehusika. Tumejikwaa wapi?
 
Embu achana na hii mada boss. Hata hatukuelewi na hatutaki kuelewa. Kuna mdau aliishia kupigwa mawe tu.

Kila mtu anajua lililo sawa na ambalo si sawa.
 
Wewe ndio msemaji wa "kila mtu? "
 
Embu achana na hii mada boss. Hata hatukuelewi na hatutaki kuelewa. Kuna mdau aliishia kupigwa mawe tu.

Kila mtu anajua lililo sawa na ambalo si sawa.
Wewe ndio msemaji wa "kila mtu?
 
Wakuu amani kwenu. Leo nimekuwa natafakari jinsi mambo ya mahusiano ya mapenzi yalivyo kwenye dunia yetu ya leo. Kuna swali najiuliza nabaki kutabasamu tu, hivi kweli leo hii sheria hizi zingetumika, nani angebaki salama?

Kumbukumbu la Torati 22 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹³ Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
¹⁴ kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
¹⁵ ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
¹⁶ na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
¹⁷ angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
¹⁸ Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
¹⁹ wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
²⁰ Lakini likiwa nikweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
²¹ na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

Yaani jamaa baada ya kumwoa mke, alipomuingilia kwa mara ya kwanza ilikuwa lazima akute kiwambo, na ushahidi ni kitambaa cheupe ambacho alikihifadhi baba wa binti kama ushahidi wa kumlea vema binti yake baada ya kiwambo kuondolewa.

Afu mambo ya aibu yaliyompata jina baya binti ni KUTOKUWA BIKRA WAKATI WA KUOLEWA. Hii ilikuwa aibu kuu na imeendelea kuwa hivyo kwa Mungu, kwa wanaoelewa maana!!

Hivi kwenye dunia ya leo ardhi yetu ingejaa makaburi ya kina dada!! Hii haijalishi, hata familia nyingi tu za kikristo mawe yangehusika. Tumejikwaa wapi?
Inamaana alama za ubikra ni ile damu sio, naomba kueleweshwa mkuu
 
Hatuishi tena kwa Sheria ila tunaishi kwa neema ya Bwana! Tazama ya kale yote yameisha na yamekuwa mapya!
 
Wakati sahihi wa kuondoa bikra ya binti?

Kwanza bikra haiondolewi bali inatolewa na inatolewa pale tu binti akiwa ameshapata joto joto na kwa ridhaa yake mwenyewe pasina kulazimishwa na mtu yoyote akaamua kukupanulia mapaja yake mwenyewe huku akiwa ameziba sura yake kwa mikono yake mwenyewe au anaelekeza sura yake pembeni huku amefumba macho akisubiri chuma kiingie.. kinachofuata ni kupapatua na kumaliza shughuli unampelekea moto wa kutosha hadi anafumbua macho kuangalia nini kinachopita huko chini hajakaa vizuri damu hizi hapa zinamwagika baasi mchezo umeishia hapo bikra ishatolewa umekata utepe

Ndio hivyo mkuu..
 
"Na asiye na dhambi ampige mawe mwanamke huyu...
Haina uhusiano kabisa, kwa lugha nyingine ni kunukuu vibaya maandiko. Uliza isaidiwe mkuu. Hapo inaongelea kuhukumu, sio ruksa ya kufanya ukahaba, ok?
 
Hatuishi tena kwa Sheria ila tunaishi kwa neema ya Bwana! Tazama ya kale yote yameisha na yamekuwa mapya!
Acha kupotosha maandiko mkuu, wapi imesemwa hivyo? Neema haikuja ili watu watende dhambi, neema inatoa nafasi kwa watenda dhambi kujirudi na kupokelewa tena kundini katika ufalme wa Mungu.

Lijapo suala la ndoa Yesu Kristo mwenyewe alifundisha wazi kuwa mwanamke mwasherati ni ruksa kumwacha. Hiyo haijawahi kutenguliwa mkuu, agano la ndoa lipo kwenye damu ya mwanamke. Baada ya Yesu Kristo kufa na kufufuka bado wanawake wanazaliwa na bikra zao vile vile. Tusitumie maandiko vibaya kuhalalisha zinaa.
 
Zinaa haimuachi mke! Wala mbinguni hakuna kuoa Wala kuolewa!
 
Back
Top Bottom