zege

Chipsi mayai (Swahili for "chips and eggs"), also known as zege, is the most popular street food found all over Tanzania. The dish was invented in the streets of Dar es Salaam. In its most basic form, chipsi mayai is a simple potato-egg omelette. It is available in all regions of Tanzania, from the most remote villages to large towns. Food stands both indoors and on streets make them to order. It is the unofficial national dish of the country.
It is generally prepared with chips (French fries), oil and beaten eggs fried together in a pan. It is often served with kachumbari.

View More On Wikipedia.org
  1. Pinda Nhenagula

    Akina domo zege

    Dah masuala ya udomo zege bwana hatari yaani mpaka nimeamua kupitia wanawake madanga au bei poa. Kwa kweli hata sina muda wa kubembeleza wanawake wanaoringa wao waringe tu ila sina time na wao kabsa now naenjoy tu.
  2. S

    Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
  3. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Barabara na Daraja la Zege Ruvuma Kuunganisha Tanzania na Msumbiji

    SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) sehemu ya kwanza Likuyufusi -...
  4. Roving Journalist

    Tsh. Bilioni 113 kujenga KM 50 Barabara ya zege kuelekea Liganga na Mchuchuma

    Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 113 ili kurahisisha usafirishaji wa makaa ya mawe ya Mchuchuma na madini ya Chuma cha Liganga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
  5. Lycaon pictus

    Kwanini tusiwe tunajenga barabara za zege tu badala ya za lami?

    Inadaiwa kuwa barabara za zege ni imara na zinadumu kwa muda mrefu kuliko za lami. Japo wanasema ni gharama kujenga lakini nchi kama yetu inaweza kuzijenga kwa kutumia malighafi zote kutoka ndani ukilinganisha na zile za lami. Kwa hiyo inawezekana kwetu zikawa na bei rahisi kuliko za lami...
  6. Mjanja M1

    Hao ni madomo zege

    Kuna Mdada nimeona mtandaoni anasema "wanaume siku hizi hawatongozi, wanatafuta shida yako ni nini, anakaa, anakukula, anasepa". Ningependa kumwambia kuwa hao wanaume ni Madomo Zege na midomo yao ni mizito kutongoza ndio maana wanatumia mbinu za namna hiyo. Wanaume tunaojielewa huwa hatupotezi...
  7. Pascal Ndege

    Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  8. Wakili wa shetani

    Hatuna teknolojia ya kufunga nguzo za zege? Naona zimekaa tu

    Kuna sehemu TANESCO wanafunga nguzo za zege? Kuna sehemu kama mbili naona zimekaa tu zaidi ya mwaka. Naona kama walizinunua bila kuwa na utaalamu wa kuzifunga, mbona sioni zikifungwa!
  9. Pascal Ndege

    Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

    Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari. Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka. Mimi nilishangaa engineers...
  10. Ashampoo burning

    Lissu asiwe kichwa cha zege asome alama tuu

    Unajua Lissu anajitia hajui kuwa hali iko hivi, Rais Samia 2025 hataki kabisa upinzani mkali, sasa Lissu yeye anakomaa. Mambo tayari yako mezani pale Mbeya, wataka jimbo Sugu apate na Tulia apate. Ukija Arusha wataka jimbo pia Lema apate alipe madeni yake na Gambo apate. Kule iringa Msigwa nae...
  11. fabinyo

    Ubora wa zege "ready-made"

    Wakuu bila shaka mpo salama. Siku hizi naona kuna hii biashara ya kuuza/kununua zege.. 1. Hivi ubora wake huwa ukoje?Mteja unauhakiki vipi ubora kukidhi mahitajio yake maana linaletwa na gari tayari likiwa limetengezwa hukoooo...Tumezoea zamani,zege linakorogwa hapo hapo na unaona mchanganyiko...
  12. Nyenyere

    Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  13. S

    Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  14. mdukuzi

    Aliyegendua chipsi yai haendi mbinguni;Nilipata mke wa kizungu sababu ya chipsi yai (zege)

    Kwa bongo huu msosi umesababisha mimba nyingi za utotoni,usaliti,ukimwi nk. Kama unadhani huo msosi limbwata lake ni bongo tu umekosea,haki ya nani aliyeugundua motoni moja kwa moja Miaka kadhaa ya nyuma katika kutafuta maisha nikajikuta niko nchi moja yenye wazungu wengi,nilizoeana na mama...
  15. BabaMorgan

    Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

    Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki. Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Back
Top Bottom