Hao ni madomo zege

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,721
12,584
Kuna Mdada nimeona mtandaoni anasema "wanaume siku hizi hawatongozi, wanatafuta shida yako ni nini, anakaa, anakukula, anasepa".

Ningependa kumwambia kuwa hao wanaume ni Madomo Zege na midomo yao ni mizito kutongoza ndio maana wanatumia mbinu za namna hiyo.

Wanaume tunaojielewa huwa hatupotezi muda na pesa kwenye mahusiano Temporary.

VIDEO
 
Tatizo wengi wanatanguliza shida sana, umefahamiana na Ke haijapita hata siku tayari kashakupa file lake lote la changamoto zake hasa kiuchumi, kwa style hiyo ni lazima mtu atumie shida zako kuteleza alafu akuache.
Tulia msomane tabia vinginevyo utahitaji msaada hata kwa mtu unaepaswa kumsaidia. Ombaomba na Njaa zitawafanya mliwe sana.
 
Back
Top Bottom