Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

Unaweza nisaidia link au source iliyo confirm hii taarifa. Nisije bisha kijiweni nikaonekana hovyo
Ni kweli mkuu
JamiiForums1313272529.jpg
 
Hii mechi itafatiliwa na watu bilioni moja kama ule msiba wetu....
al hilal wajanja sana. wanajua demand ya hii mechi kuonekana kwa watz ni kubwa, wakatengeza tension kwa makusudi ili kuiongezea value. bila shaka azamtv watakuwa wamelipa pesa nyingi sana ili wauzie broadcast right.

NB: kitu ambacho watz wengi hawajui, mechi za CAF champions league hatua ya awali, haki ya matangazo ya television ipo chini ya timu mwenyeji.
 
Back
Top Bottom