Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba.
Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje.
Nimejaribu tu kuwaza, labda ni mpango wa shetani kuchomekea hii itikadi. Alichomekea akijua huu mtego hawa...
Wakuu bila shaka mnaendelea vyema.
Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu.
Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu.
Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba...
Kumekucha!
Baada ya kuwapopoa wanawake ombaomba wanaojificha kwenye kichaka cha mapenzi sasa nawarudia vijana wazinzi (both men and women).
Uzinzi haujawahi kuleta tija kwa mtu yeyote tangu Dunia ianze. Uzinzi ni dhambi, hautoshelezi.
Ni tendo lisilokata kiu.
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi.
Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa).
Kuna...
Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda.
Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa...
Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.
Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika.
Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati?
Wako katika ujenzi wa Taifa,
DON YRN.
Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.
Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha...
, Siku hizi imekuwa ni kawaida sana wazazi kujua kijana wao ana boyfriend ama girlfriend na wazazi hawana shida.
Hapo wazazi wanajua kabisa kwamba vijana wanasex ila wanaona ni sawa tu, na hii imepelekea wazazi wawe wanawapa vijana sex edication kuwaasa watumie mipira (condom), ila muda huo huo...
Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio...
Kutoka 21:10
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.
Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini?
Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala.
Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu.
Sasa...
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake.
Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period
Ya pili pia
Nasubiri ya tatu Sasa😀
Pesa za p2...
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.
Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake.
(1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa mimba yaani ni wauwaji na magaidi ,kama ww umetoa mimba huna tofauti na boko haram.
(2) Wakati ww...
Disclaimer: hii ni hadithi ya kufikirika, ukikutana na typing errors skip hata mimi ni binadamu nakosea
Tiririka.......
SEHEMU YA KWANZA (01)
NGRIIIIIIIII, NGRIIIIIIIIIIIIIII NGRIIIIIIIIIIIIIII.
Simu yangu iliita ghafla nikiwa nimekaa jirani na mama ambapo taratibu niliangalia jina...
Kuna hili kundi la watu wanadai wameoa wengine wameolewa, lakini wako na michipuko kibao, Uzinzi kibao, sasa mmeoa nini?
Ni vituko tu huko doani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake. Watu wamechoka hatari, wamepoteza Nuru.
Ni watu wachache ndo wana-Enjoy Ndoa, wengi wao uchafu na kuleteana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.