Search results

  1. E

    DOKEZO UDART wameanza wizi

    Siku za hivi karibuni hawa watu wa mabasi yaendayo Kasi(UDART) Wameanza wizi wa wazi wazi. Ukienda kukatq ticket halafu ukatoa hela kubwa zaidi ya gharama ya ticket yako wanakuambia uwaongezee 150 au 200 ndipo upewe change yako. Kama huna itabidi wakusubirishe. Na kama una haraka zako utachukua...
  2. E

    Baada ya Nape na Mwigulu sasa ni zamu ya January Makamba

    Gazeti la Tanzanite la leo limeanza mashambulizi Rasmi dhidi ya Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. January Makamba. Gazeti hili la Cyprian Musiba linadai January katoweka na Bilioni moja za NSSF. Nimejiuliza kuwa je baada ya Nape na Mwigulu hii ni zamu ya January?? Naomba kuwasilisha
  3. E

    Askofu Bagonza: JWTZ ni Jeshi la Wananchi, si Jeshi la Watawala wala Viongozi!

    HAPPY BIRTHDAY MWALIMU JKN. Hayati Baba wa Taifa, leo 13/4/2019 angetimiza miaka 97 ya kuzaliwa. Alizaliwa tarehe ya leo mwaka 1922. Niandike jambo moja kama kumbukizi na kumuenzi. Mwaka 1985, wakati anastaafu, alihojiwa na chombo kimoja cha habari. Akaulizwa ataje jambo moja lililomsikitisha...
  4. E

    Milioni 200 za kuchora na kupaka rangi ndege vs milioni 495 za kuchora nembo ya TPB

    Wanabodi nawasalimu. Nimekaa nikajiuliza kwamba kama Serikali ilikubali kununua nembo ya Benki ya Posta(TPB) kwa TZS Milioni 495 ilikuwaje serikali hiyo hiyo ikakataa ndege yetu kuchorwa Twiga na kupakwa Rangi kwa TZS Milioni 200?? Yaani Bunge letu linatumia nguvu kubwa kupambana na CAG badala...
  5. E

    TARURA na Yono auction mart wanataka kutudhulumu sisi wakusanyaji wa ushuru hapa Mbeya Mjini

    Kwanza nianze kwa kuwasalimu. Pili naomba hiki kilio kiwafikie mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano na waziri wa Fedha na Mpango. Ni kuhusu sisi Wafanyakazi wa YONO AUCTION MART na TARUA hapa Mbeya. YONO AUCTION MART umeingia kama mkusanyaji wa...
  6. E

    Kwako Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla kuhusu sisi wafanyakazi wa Hospitali ya Ks

    Amani iwe kwenu wadau. Ninaomba kupitia jukwaa hili nifikishe kilio chetu sisi Wafanyakazi wa hospitali ya Ks kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala. Naomba kuwasilisha hoja zifuatazo: 1. KUCHELEWESHEWA MISHAHARA: Uongozi wa hospitali ya Ks unatucheleweshea sana mishahara sisi watumishi...
  7. E

    Sasa ni dhahiri, NASA=ODM and not otherwise. Kalonzo Musyoka huenda akaachana na Muungano huo

    Wadau Amani kwenu. Nianze kwa kuwatakia wakenya wote maandalizi mazuri ya Uchaguzi hapo October 26. Sasa ni wazi kabisa kuwa muungano wa NASA umeshasambaratika. Baada ya Raila kukimbia kushiriki Uchaguzi sioni tena zile press conference za pamoja alizokuwa akifanya huku Kalonzo MUsyoka na...
  8. E

    Sasa ni dhahiri, NASA=ODM and not otherwise. Kalonzo Musyoka huenda akaachana na Muungano huo

    Wadau Amani kwenu. Nianze kwa kuwatakia wakenya wote maandalizi mazuri ya Uchaguzi hapo October 26. Sasa ni wazi kabisa kuwa muungano wa NASA umeshasambaratika. Baada ya Raila kukimbia kushiriki Uchaguzi sioni tena zile press conference za pamoja alizokuwa akifanya huku Kalonzo MUsyoka na...
  9. E

    Mikakati ya Uhuruto na Jubilee itamuacha Raila na historia ambayo haitasahaulika kamwe.

    Wadau kama kawaida yangu nianze kwa kuwasalimu, Assalam Alleikum!! Bado nazidi kufuatilia siasa za Kenya wakati huu nchi hiyo inapoelekea kwenye Uchaguzi wa marudio. Niseme tu mapema kuwa Raila Odinga na NASA yake wameshachoka mapema. Na ni dhahiri kuwa ndani ya NASA mtu pekee aliyesalia kuwa...
  10. E

    Muelekeo wa Ushindani ulivyo sasa kati ya Jubilee na NASA baada ya kufanya kikao na IEBC

    Wadau nawasalimu asubuhi njema kama ya leo. Jana IEBC ilifanya kikao cha pamoja na vyama vya Jubilee na Muungano wa NASA. Baada ya kile kikao pande zote tatu zilizungumza kama ifuatavyo: JUBILEE: 1. Walidai kuwa wanaridhishwa na jinsia maandalizi ya Uchaguzi yanayofanywa na IEBC...
  11. E

    Hospitali binafsi ya Ks iliyoko mkoani Mbeya inawadhulumu watumishi wake. Tunaomba imulikwe

    Wizara ya afya na ustawi wa jamii na/au kamati ya afya mkoa/wilaya ya Mbeya imulikeni hospitali ya Ks iliyoko maeneo ya Mafiati. Hospitali hii licha ya kutulipa watumishi wake mishahara duni ya hadi Laki moja(100,000/=) kwa mwezi huwa haiwasilishi michango yetu ya kila mwezi kwenye mifuko ya...
  12. E

    Wizara ya afya imulikeni hopitali ya KS iliyoko Mbeya

    Wizara ya afya na ustawi wa jamii na/au kamati ya afya mkoa/wilaya ya Mbeya imulikeni hospitali ya Ks iliyoko maeneo ya Mafiati. Hospitali hii licha ya kutulipa watumishi wake mishahara duni ya hadi Laki moja(100,000/=) kwa mwezi huwa haiwasilishi michango yetu ya kila mwezi kwenye mifuko ya...
  13. E

    Raila hatari Uchaguzi wa marudio

    Wadau wasalamu Nianze kwa kuiomba nanii ya kimataifa iwe macho. Nguvu nyingi zielekezwe Kenya ili yale ya 2007/2008 yasijirudie. Mahakama ya juu nchini Kenya ilitengua matokeo ya Urais yaliyompa ushindi Kenyatta na kuamuru Uchaguzi urudiwe ndani ya siku 60 kwa mujibu wa katiba. IEBC wakatii...
  14. E

    Jerry Muro: Urais wa Kizalendo ni mgumu Tanzania

    Nakumbuka Wakati Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akishirikiana na Waziri Mkuu ambae nae ni Marehemu Mzee wetu Edward Moringe Sokoine, baadhi ya wananchi walilalamika sana kutokana na Viongozi hawa kupambana na Rushwa na Ubadhirifu wa Mali ya Umma, Naambiwa ilifikia mahali...
  15. E

    Utabiri wa Kijinga- Kinachoenda kutoka Kenya hivi karibuni

    Wasalamu ndugu zangu. Poleni na majukumu. Nimekaa na kutafakari sana juu ya mwenendo wa Sasa za Kenya kwa hivi Sasa hasa baada ya kuonekana dhahiri kuwa mhimili wa Mahakama na ule wa Serikali wana uhasama. Yote haya ni kwa sababu ya kufutwa kwa matokeo ya Urais. Jana tumeona Haki Mkuu David...
  16. E

    David Maraga na majaji wa mahakama ya juu wamekosea kususia uzinduzi wa bunge

    Nianze kwa kuwasalimu. Kama kweli Jaji Mkuu David Maraga na Majaji wengine wa Mahakama ya juu wamesusia uzinduzi wa Bunge la 12, then ni makosa sana. Wamesusia kama ambavyo Wapinzani wa NASA walivyosusia. Hii itapelekea zile tetesi kuwa Majaji hawa walikuwa njama na NASA ili kutengua matokeo...
  17. E

    Mbona wakenya mko kimya sana kutuletea updates za michakato ya uchaguzi kwenye vyama?

    Wanabodi salaam. Toka wiki iliyopita michakato ya kuwapata wagombea wa nafasi mbali mbali kwenye ngazi ya vyama ilianza na zineshika kazi sana japo chama cha Jubilee ndicho kinachovuma kila ukifungulia TV kikifuatiwa na ODM kwa mbali. Cha kushangaza wenzetu wa Kenya ambao ni members wa humu...
  18. E

    Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

    Meya wa Ubungo Mh. Boniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa Jumatato ijayo ya tarehe 20/03/2017. Stay tuned...
  19. E

    Msaada tafadhali: Jumia Tanzania

    Jamani naombeni msaada. Kuna yeyote humu anafahamu kuhusu Jumia Tanzania. Wanapatikana @ www.jumia.co.tz? Wadau nina shida so help me.
  20. E

    Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Huku hapatoshi. Mambo yamekuwa mambo. Watu wanamiminika vibaya mno. Hakuna wasanii. Hakuna kusombwa na malori. Makamanda mlioko huku tusaidiane kutoa updates. Mapicha na updates zingine kufuata. Mkutano huu Unarushwa live na ITV, AZAM TV, vilevile unaweza kusikiliza kupitia Radio One
Back
Top Bottom