ecolizer baba
Member
- Sep 29, 2010
- 88
- 310
Wanabodi nawasalimu.
Nimekaa nikajiuliza kwamba kama Serikali ilikubali kununua nembo ya Benki ya Posta(TPB) kwa TZS Milioni 495 ilikuwaje serikali hiyo hiyo ikakataa ndege yetu kuchorwa Twiga na kupakwa Rangi kwa TZS Milioni 200??
Yaani Bunge letu linatumia nguvu kubwa kupambana na CAG badala ya kutumia nguvu hizo hizo kupambana na ufisadi wa aina hii??
Yaani Spika wa Bunge badala ya kutumia mamlaka yake kwa mujibu wa katiba kuiwajibisha Serikali yeye badala yake anayatumia kudidimiza juhudi za kulikomboa taifa hili!!?? Maajabu ya karne