ecolizer baba
Member
- Sep 29, 2010
- 88
- 310
Nianze kwa kuwasalimu.
Kama kweli Jaji Mkuu David Maraga na Majaji wengine wa Mahakama ya juu wamesusia uzinduzi wa Bunge la 12, then ni makosa sana. Wamesusia kama ambavyo Wapinzani wa NASA walivyosusia.
Hii itapelekea zile tetesi kuwa Majaji hawa walikuwa njama na NASA ili kutengua matokeo ya urais uliompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta. Na hii inaweza wafanya watu waliodharau tuhuma hizo kuchukulia kuwa ni kweli.
Maraga pls don't do this again. Nyie hampaswi kuwa na upande kwenye mambo ya siasa.