Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

ecolizer baba

Member
Sep 29, 2010
88
310
Huku hapatoshi. Mambo yamekuwa mambo. Watu wanamiminika vibaya mno. Hakuna wasanii. Hakuna kusombwa na malori.

Makamanda mlioko huku tusaidiane kutoa updates.

Mapicha na updates zingine kufuata.

mbeya5.jpg

11167852_465693523609844_5516268935981816861_n.jpg

11217673_465693963609800_7432666714879617111_n.jpg

Mkutano huu Unarushwa live na ITV, AZAM TV, vilevile unaweza kusikiliza kupitia Radio One
 
Last edited by a moderator:
:A S shade: :bange: :A S 41: :smokin: :second: :violin: :drum: :clap2: :msela: :cheer2: :cheer2: :whoo: :tea: :peace::peace::peace:
 
Magufuri: Diallo,nikipata uraisi takubeba kibiashara.

Katika kauli iliyonifanya nione kweli CCM ni janga la taifa hili na tusitegemee mabadiliko yoyote zaidi ya kubebana kama shukrani katika uongozi wa Magufuri, jana wakati anamuita mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Antony Diallo, Magufuri pasipo aibu na kuonyesha kuwa kweli CCM haina future tena alitamka na namnukuu; Antony Diallo wewe ndiye umetusaidia kuturushia mikutano yetu ya kampeni,hivyo nikiwa raisi tahakikisha nakubeba katika biashara zako!!!
 
Huku hapatoshi. Mambo yamekuwa mambo. Watu wanamiminika vibaya mno. Hakuna wasanii. Hakuna kusombwa na malori.

Makamanda mlioko huku tusaidiane kutoa updates.

Mapicha na upsates zingine kufuata.

Elezea hali za vipaza sauti ikoje?
 
Wakuu natanguliza salamu , kishindo kikubwa sana kitakachoambatana na gharika na mafuriko ya watu kuikumba kyela kesho j3 , maandalizi ya kuandaa jukwaa na nakshi nakshi zingine yanaendelea katika viwanja vya shule ya msingi Mpanda , usishangae kuhusu uwanja wa mpanda , viwanja vyote vya kyela visingeweza kutosha umati unaotarajiwa kesho .
 
Magufuri: Diallo,nikipata uraisi takubeba kibiashara.

Katika kauli iliyonifanya nione kweli CCM ni janga la taifa hili na tusitegemee mabadiliko yoyote zaidi ya kubebana kama shukrani katika uongozi wa Magufuri, jana wakati anamuita mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Antony Diallo, Magufuri pasipo aibu na kuonyesha kuwa kweli CCM haina future tena alitamka na namnukuu; Antony Diallo wewe ndiye umetusaidia kuturushia mikutano yetu ya kampeni,hivyo nikiwa raisi tahakikisha nakubeba katika biashara zako!!!

Seriously kabisa katoa ahadi hiyo?
 
Huku hapatoshi. Mambo yamekuwa mambo. Watu wanamiminika vibaya mno. Hakuna wasanii. Hakuna kusombwa na malori.

Makamanda mlioko huku tusaidiane kutoa updates.

Mapicha na upsates zingine kufuata.

Mihemko kibao. Kujipa moyo siku zote ni kuzuri japo huwa hakubadili matokeo. Fisadi alilaaniwa tangu Yesu yupo duniani na ni mafisadi walimuuza kwa vipande thelathini. Hatuwezi kumuacha muadilifu na kumchukua mpiga dili mkuu. Kura zetu kwa John Pombe Magufuri.
 
Back
Top Bottom