ecolizer baba
Member
- Sep 29, 2010
- 88
- 310
Wadau wasalamu
Nianze kwa kuiomba nanii ya kimataifa iwe macho. Nguvu nyingi zielekezwe Kenya ili yale ya 2007/2008 yasijirudie.
Mahakama ya juu nchini Kenya ilitengua matokeo ya Urais yaliyompa ushindi Kenyatta na kuamuru Uchaguzi urudiwe ndani ya siku 60 kwa mujibu wa katiba. IEBC wakatii agizo la Mahakama na kuanza kuandaa Uchaguzi. October 17 ikawa ndiyo tarehe ya awali lakini baada ya NASA kudai kuwa Uchaguzi usogezwe mbele( of course hata Safran nao walichangia kwenye hili) Uchaguzi ukasogezwa hadi October 26. Na maandalizi yanaendelea toka kwa wadau wote na UNDP imejitolea kubeba baadhi ya gharama za marudio hayo ya Uchaguzi. In short kila kitu kinakwenda as planned.
Sasa cha ajabu Raila Odinga ameibuka na madai mapya. Eti Safaricom ilimuibia kura. Hiki ni kichekesho cha karne. Na hii unakuja baada ya IEBC kutangaza kuwa Al Guhair watachapisha karatasi za kura, Safran watasupply KIEMS kits na Safaricom watasupply Network kwenye vituo vyote vya upigaji kura. Eti from nowhere Odinga anakuja na tuhuma mpya dhidi ya watu wapya ambao ni Safaricom. Kwa nini kama alikuwa na ushahidi hakuwaunganisha kwenye kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta?? Very pathetic.
Hii inazidi kuonesha kuwa NASA are not ready for the polls. Wanachotakani vurugu, Uchaguzi ushindwe kufanyika then waseme wa nataka coalition government.
Na hili kudhihirisha hili la NASA kutakuwa tayari kwa Uchaguzi ni kitendo chao cha kutofanya kampeni. Eti wanadai kuwa kampeni walifanya kabla ya Uchaguzi wa kwanza na wakamaliza. Sasa kama ni hivyo ni kwa nini waluchangisha hela za kufanyia kampeni??
Kingine chao wenzao wa Jubilee wakionhozwa na uhuruto wako kwenye kampeni kali as if hawakufanya hizo kampeni before. Ni kwa sababu wanajua kuwa wananchi ndio watawapa kura na hivyo wanatafuta kura za nyongeza toka kwa wale ambao hawakuwapigia previously huku wakiendelea kumaintain zile 8.4M walizopata last time.
Nimalizie kwa kusema kuwa matendo na maneno ya NASA vinaonesha kuwa they are not ready for the repeat elections rather they want to bring about political turmoil that will distort the peace that Kenyans are enjoying. Hence the international community should be aware and be ready to take actions whenever it deems necessary.
Asanteni sana.