Msaada tafadhali: Jumia Tanzania

Mkuu nahitaji kujua kama ni kampuni imiyosajiliwa Tanzania na wanaavyo-operate maana wanasema wanahusika na ONLINE PURCHASES@ Jamii01
 
Sijui kama wamesajiliwa Tanzania, ngoja wajuzi Zaidi watakuja juu ya hili, ila ni kweli wanahusika na online purchases na hakuna longo!
Nimeshanunua kupitia wa items kibao!

Jisajii. kisha nunua item unayo itaka, lakini kama una hofu chagua kijumba cha "utalipia ukiletewa mzgo" kama upo dar ilikuwaga 4,000/- kisha, within no time, utapigiwa simu na wao "jumia" wakitaka ukonfem kama kweli unaunuua huo mzgo na anuani yako..........siku hiyohiyo au kesho yake kulingana na muda, utapoke simu ingine ya bodaboda anataka kukufuata ulipo akupe mzgo wako. Akifika unampa chake + 4,000/- unasaini document yao, unaachiwa mzgo wako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom