wanyakyusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

    Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe, karibu kila mkoa una main tribe wageni hawajui sub tribes, Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni...
  2. passion_amo1

    Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

    Wakuu habari za asubuhi? Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye. Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana Tuntufye ni - tumsifu😀 Gwamaka- mwenye nguvu Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
  3. R

    Tulia Ackson afanye nini wananchi wa mbeya wamwonee huruma?Amefanya matamasha mengi kuliko kiongozi yoyote wakisiasa ila Wanyakyusa wamemkazia

    Kama kuna Mbunge ameandaa matamasha na kurekodi matukio anayofanya ni Tulia Ackson. Ameandaa wasanii wakubwa , ameandaa mpira , ameandaa vikundi vyakusaidia nakadhalika . Ila hadi sasa bado wananchi wa Mbeya awataki kumwelewa mama wa watu. Amezunguka Mbeya mjini hali ngumu ameenda Rungwe nako...
  4. Championship

    Wanyakyusa bado wanaweka kabati za vyombo sebuleni na kutandika vitambaa kwenye makochi

    Hapa Mbeya Mjini nimejionea nyumba kadhaa nilizotembelea hali ni hiyo pamoja na kutandika vitambaa kwenye makochi.
  5. B

    Wanyakyusa mko juu

    Nahisi makatapera yanawasaidia sana, hivyo komaeni kuyazalisha na kuyatumia (kuyala) ipasavyo. Angalia vichwa hivi: 1. Wakili msomi Mwambukusi 2. Dr. Tulia Akson 3. Professor Mwafyenga (digrii 10) 4. Professor Mwandosya 5. Dr. Mwakyembe 6. 7. 8. 9. Ongezea wengine (usimtaje Sugu, huyu siyo...
  6. sky soldier

    Kwanini mikoa ya Kusini na Kati haipo active kwenye power ukiwaondoa Wanyakyusa?

    Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya. Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi. Ila sasa huku mikoa ya kanda za...
  7. Jemima Mrembo

    Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

    Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya. Dr. Ulimboka...
  8. Andre-Pierre

    Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Dondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu. Naanza Gwakisa, endelea
  9. CONSISTENCY

    Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

    Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari. Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
  10. sky soldier

    Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

    Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts. Lets just admit kina Mwaisa they have the southern crown, Southern namaanisha mikoa ya kusini Mbeya, Songwe, Rukwa, Iringa. Njombe, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Nawakumbusha tena Power...
  11. Valencia_UPV

    Tukuyu Stars ilitubeba Wanyakyusa

    1. Pamoja na kwamba wengi tumesoma mpaka PhD Ila timu yetu ya Tukuyu Stars ndio ilitambulika zaidi kuliko PhD zetu. 2. Tulivyo wa ajabu, hatujisikii aibu kushabikia timu za Ulaya huku timu yetu ikipotea kwenye ramani. NB: Dr Sugu, Prof Mwandosya, Dr. Tulia, SH Amon-Sauli, Dr Mwakyembe ongozeni...
  12. Superbug

    Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

    Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla. Ni hayo tu kwa leo.
  13. Superbug

    Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

    Wanyakyusa aisee hebu rekebisheni hili ndugu zangu mnasalimia salimia Sana mnaongea sana Hadi mnakera na mnajua Kila kitu Yani ujuaji mwingi hii sio fresh sio Poa badilikeni bana!! Mods msifute huu uzi Mimi nilioa Kwa wanyakyusa ila nilimuacha dada Yao nikaoa mpare mwenzangu!
  14. NetMaster

    Licha ya Wanyakyusa kuwa juu kwa muda mrefu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kielimu, kisiasa, vyeo vya juu, n.k kwanini uraisi hawusogelei ?

    Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe. Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika...
  15. NetMaster

    Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

    WASAFWA NDIO WAZAWA HALISI WA WILAYA ZA JIJI LA MBEYA, KILITOKEA NINI MPAKA WANYAKYUSA WA WILAYA ZA NJE YA JIJI KUFAHAMIKA NDIO WENYEJI? Yani hii Tanzania nzima ukiuliza jiji la Mbeya linakaliwa na kabila gani, fasta mtu anakujibu wanyakyusa lakini ukweli ni kwamba wasafwa ndio wenyeji na hata...
  16. Da'Vinci

    Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

    Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)? Kwanini nauliza? Well, kwa sababu zangu binafsi. Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni...
  17. S

    Hivi Wanyakyusa na Wasukuma nani kawaambie Lugha zenu ni Dili?

    Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba zaidi ni Spika tu ndiye mwelewa. Kwanini wanaongea kilugha wanapandikiza kitu gani? Kwamba lugha...
  18. Idd Ninga

    Wanyakyusa na ujuzi wa Kuchunguza na kupasua maiti

    WANYAKYUSA NA UPASUAJI WA MAITI Afrika haikuwahi kuwa na wajinga kiasi hicho ndio maana watu walifuatwa kufanywa watumwa na kwenda kujenga Ulaya, ila ni lazima kuwalisha waafrika matango pori kwa sababu ya shida zao ili waamini kweli walikuwa wajinga. Hebu leo tutazame kabila la Wanyakyusa na...
Back
Top Bottom