Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.
Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.
Orelse we gona...
Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii.
Mfano.
Ali kiba
Diamond platnumz
Haji manara
Gavana w bank kuu (Tutuba)
Makamu wa rais
Mwijaku
Baba levo
Nk
Hebu chunguza tu utagundua wana vipaji...
Ukiangalia mitume wale 12,
Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.
Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake.
Siku ndoa ni kikwazo...
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana...
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na...
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar
Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi.
Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake...
In economics there is the so called game theory in which nush equilibrium is studied.
Lissu is surely playing the zero sum game such that at time of breaking up of union helped by our president, it will be beneficial for him and the president since their missions will have reached.
Through...
Samia is behind Lissu's movement on this union. In fact, the Zanzibaris are pushing this agenda secretly pretending that it is Lissu who is notorious while it is Sami's movement.
Samia is struggling to ensure Zanzibar is fully on its own as a nation and lisu is being used as a catalyst.
So...
Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena.
Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
Watu wengi hawafahamu kwamba "Bila Ofisi ya Papa Francisco, makanisa yangekuwa mengi mno duniani yenye mafundisho potofu kwasababu kungekuwa hakuna kanisa Katoliki ambalo ni moja, Takatifu, Katoliki na la mitume; ulimwenguni kote.
Hebu fikiria kama kungekuwa hakuna kanisa Katoliki Tanzania...
ASKOFU ATAJA USHAHIDI WA KI-BIBLIA WA KWANINI WAKRISTO HUABUDU JUMAPILI!
Kwa mujibu wa Biblia, siku ya saba ya juma ni Jumamosi, siku ya kwanza ya juma ni Jumapili. Tangu mwanzo, Wayahudi walikuwa na dini yao (Judaism) ambayo hadi leo ipo na ndio dini kuu nchini Israel. Dini nyingine katika...
Hebu fikiri huu wizi ambao hautumii nguvu Bali akili tu.
1. Kanisani unapigwa hela kupitia sadaka na micahango mbalimbali wakiita zaka.
2. Mtaani unapigwa kwa michango mbalimbali ama harusi, vifo, sherehe kama mtoto amezaliwa au anabatizwa nk.
3. Serikalini ulipe Kodi napo kwa njia mbalimbali...
Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.