Nyuma ya pazia (it is for the intelligent only)

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,041
1,532
Samia is behind Lissu's movement on this union. In fact, the Zanzibaris are pushing this agenda secretly pretending that it is Lissu who is notorious while it is Sami's movement.

Samia is struggling to ensure Zanzibar is fully on its own as a nation and lisu is being used as a catalyst.

So Samia is behind Lissu's movement and that's why he is fully secured and protected whatsoever he utters.
 
Samia is behind lisu's movement on this union. In fact the zanzibaris are pushing this agenda secretely pretending that it is Lisu who is notorious while it is Sami's movement.

Samia is struugling to ensure zanzibar is fully on it own as a nation and lisu is being used as a catalyst.

So samia is behind Lisu's movement and that's why he is fully secured and protected whatsoever he utters.
Why don't kilimanjaro rise - up!, why bahaya don't rise up?
 
Samia is behind lisu's movement on this union. In fact the zanzibaris are pushing this agenda secretely pretending that it is Lisu who is notorious while it is Sami's movement.

Samia is struugling to ensure zanzibar is fully on it own as a nation and lisu is being used as a catalyst.

So samia is behind Lisu's movement and that's why he is fully secured and protected whatsoever he utters.

Misleading and manipulative to distort the truth. Another plan ya kumchafua lissu. Shame !

Lissu is ahead of his time and he means a lot to TZ.
TZ proud to have lissu, na ni miongoni wa wanasiasa ambao hawana tatizo la Urai, a pure Tanzanian .

JPM alishindwa, na alitangulia na kumuacha Lissu. Anything mnacho plan kufanya watch out
Yeyote anaejaribu kurudia ule mchezo, mtaipeleka nchi kwenye majonzi makubwa Tena na Tundu ataendelea kubaki
Na tunajua CCM wanafurahi anachofanya lissu, na wengine wanamtumia sms kwa private number kuwa keep it up the good work

Hizo kelele za public kwa viongozi wakuu ni geresha.

Anachosema Lissu ni sahihi na ajibiwe kwa hoja
 
Why don't kilimanjaro rise - up!, why bahaya don't rise insted

Misleading and manipulative to distort the truth. Another plan ya kumchafua lissu. Shame !

Lissu is ahead of his time and he means a lot to TZ.
TZ is providing to have lissu, na ni miongoni wa wanasiasa ambao hawana tatizo la Urai, a pure Tanzanian .

JPM alishindwa, na alitangulia na kumuacha Lissu. Anything mnacho plan kufanya watch out
Yeyote anaejaribu kurudia ule mchezo, mtaipeleka nchi kwenye majonzi makubwa Tena na Tundu ataendelea kubaki

Anachosema Lissu ni sahihi na ajibiwe kwa hoja
Politics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki
 
Samia is behind lisu's movement on this union. In fact the zanzibaris are pushing this agenda secretely pretending that it is Lisu who is notorious while it is Sami's movement.

Samia is struugling to ensure zanzibar is fully on it own as a nation and lisu is being used as a catalyst.

So samia is behind Lisu's movement and that's why he is fully secured and protected whatsoever he utters.
Acha upotoshaji wa kijinga, hiyo hoja kuhusu muungano Lisu hakuanza Jana, ni tokea Samia hajawa rais. Chukua Hansard za bunge maalum la katiba kwa udhibitisho wa lini Lisu aliongea kuhusu muungano huu wa shuruti.
 
Politics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki
Kawaambie wajinga wenzio ambao ukiwaambia jambo kwa kiingereza ndio wataona una point. Hakuna mwanaccm anaweza kumtumia Lisu maana anajitambua vya kutosha. Lisu aliianza kuongelea suala la muungano huu wa kihuni toka ww uko English course.
 
Njaa ndo huwa zinawasumbua hawa
 
Politics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki
Yote yanawezekana, lakini ni lazima kuelewa, wapo ambao wana maamuzi kuliko rais aliyepo madarakani!, Muungano ni bora kuliko uhai wa mtu yeyote yule!
N. B, NDIYO MAANA NASEMA LISSU ANAPOTEZA MUDA BURE, MUUNGANO NI ZAIDI YA MAISHA YA YEYOTE YULE.
 
Politics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki

Hizo ni ndoto zako zilizokosa backup ya aina yoyote ile. Suala la Muungano limeongelewa sana tangu enzi za mfumo wa chama kimoja, mpaka Bunge kufikia azimio la kuundwa Serikali ya Tanganyika. Tume ya Warioba imeongelea na kulifanyia kazi sana jambo hili.

Kudai sijui Lisu anatumika, ni miongoni mwa porojo. Yawezekana Rais Samia kama kiongozi, kama Mzanzibari na kama mtu binafsi akaunga mkono suala la kuufanyia marekebisho Muungano, lakini hiyo haimaanishi wale wote wanaotaka Muungano urekebishwe, eti wanatumiwa na Samia. Kumwambia mtu anatumiwa ni kumtusi. Ni kumfanya huyo mtu hana akili yake ya kuchambua mambo. Kwenye level hiyo Lisu hayumo. Kinachompambanua Lisu siku zote ni uhuru wake wa mawazo na fikra, ujasiri wa kuyanena anayoyaamini na uwezo mkubwa wa kuyatambua na kuyachambua mambo.
 
Sasa lisu ana akili
 
Back
Top Bottom