Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”

Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.

Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”



==============================​
Kisesa MP, Luhaga Mpina, has stated, "After thoroughly listening to the explanations provided by retired Chief of Defence Forces, General Venance Mabeyo, on March 16, 2024, I am convinced and urge my fellow MPs to allow the formation of an independent commission to investigate the controversy surrounding the death of the Fifth President, Dr. John Joseph Pombe Magufuli. This is to ensure justice is served to both those mentioned positively or negatively in this matter."

He added, "The commission will also identify those who rejected the swearing-in of Dr. Samia Suluhu Hassan as the President of Tanzania when it was a constitutional requirement. Given the gravity of the issues raised by a credible institution and a credible individual, there is a need for this commission to be established."

The narrative surrounding the late President Magufuli's health has been clarified by retired General Venance Mabeyo, who revealed that Magufuli had been battling heart issues since his time at the University of Dar es Salaam. He was initially admitted to Muhimbili Hospital and later transferred to Mzena Hospital, where he unfortunately passed away. There doesn't seem to be any ambiguity in this account. The controversy might have arisen from the lack of transparency in the government's communication after the President's death. However, this doesn't warrant the formation of a commission.

Another area of contention could be the secrecy surrounding Magufuli's illness. Yet, it's known that he conducted his government affairs with a high level of secrecy, propaganda, and denial. Even when he claimed that COVID-19 had been eradicated through prayer, his government remained silent about his health condition. Similarly, when former President Mkapa fell ill, the government didn't disclose any details until his passing. In contrast, during President Samia's administration, updates were provided when President Mwinyi was unwell.

Therefore, Minister Mpina's attempt to insinuate controversy around Magufuli's death doesn't seem to be grounded in his own statements.

However, the public has proposed the formation of an independent committee to investigate key incidents that have stirred concern and controversy in Tanzania. These incidents include the disappearances of Ben Saanane and Azory Gwanda, the death of Leopold Lwajabe, the attack on Tundu Lissu in Dodoma, the kidnappings of Roma Mkatoliki and Mohamed Dewji, and the reasons behind the invasion of the Clouds Media Group studios. Establishing this committee would ensure transparency and justice for the Tanzanian public and the families affected by these events.
 
Ndugu mpina, Samia anasema kijitabu kijitabu, Kwanza ilitakiwa Mabeyo akamatwe Kwa kuvunja katiba, Nani alimwambia awe msemaje wa familia?

Yaani katiba inauzwa shs 10000 pale Kariakoo alishindwa kwenda kusoma utaratibu wa Rais akifa Nani anafuata? Mabeyo akaisaidie polisi! Joni amekufa 2021 Kwa nini hiyo hadithi asimulie Sasa?
 
Mbunge km huyu Kuna wananchi nao walipanga foleni kwenda kumpigia kura penginepo jua likiwachomaa😅😅.
Badala ya kupigania serikali iachee kuiba na kuleta maendeleo ,yupo busy kumuwaza marehemuu..

FB_IMG_1712683107930.jpg
 
Iundwe kamati huru kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda .

Kifo cha Leopold Lwajabe.

Shambulio la Tundu Lissu Dodoma.

Kutekwa kwa Roma Mkatoliki na Mohamed Dewji.

Sababu za kuvamiwa Clouds Media Group studio.

Hapa itakuwa tumeutendea haki umma wa watanzania na familia za hao watu.
 
Ushauri wangu, mama afanye kama Magufuli, mtu mwenye kelele kelele kama huyu ampe post, kwani kama kweli yuko serious anaweza kuwa msaada kwa nchi, na akionekana ni njaa ndio ilikuwa inamsumbua atupwe pembeni tu.
 
Ndugu Mpina, Samia anasema kijitabu kijitabu. Kwanza, ilitakiwa Mabeyo akamatwe kwa kuvunja katiba. Nani alimwambia awe msemaji wa familia? Yaani katiba inauzwa shs 10,000 pale Kariakoo. Alishindwa kwenda kusoma utaratibu wa Rais akifa. Nani anafuata? Mabeyo akaisaidie polisi! Joni amekufa 2021. Kwa nini hiyo hadithi asimulie sasa?
Rais mwenyewe alisema katiba ni kijitabu tu so inaelekea top wana uamuzi wa kuifuata au kutoifuata bora Mabeyo alizingatia katiba ifuatwe kwa mrithi
 
Kwahiyo yeye wakati anaua wenzake uchunguzi ulikuwa hautakiwi ila kwasababu muuaji kauliwa ndio wanataka uchunguzi what a bloody fool
Sio ndio ina maana Uchunguzi Ufanyike. Wewe hutaki kujua kwanini Lissu alirindimwa na Risasi? Hutaki kujua labda kawa sababu kama hiyo labda wakatumiwa na mahasimu wa Taifa hili kumfikia Raisi?
 
Ndugu mpina ,Samia anasema kijitabu kijitabu,Kwanza ilitakiwa mabeyo akamatwe Kwa kuvunja katiba ,Nani alimwambia awe msemaje wa familia?Yaani katiba inauzwa shs 10000 pale kariakoo alishindwa kwenda kusoma utaratibu wa Rais akifa Nani anafuata?Mabeyo akaisaidie polisi!Joni amekufa 2021 Kwa nini hiyo hadithi asimulie Sasa?
SG wanalazimisha kingi
 
Back
Top Bottom