China wanastrugle kukinyakua kisiwa ili isiwe chaka ya maadui lakini sisi tuko busy kukaribisha maadui. Au ni akili ndogo!!!

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,010
1,469
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
 
imagine, mtu mzima anaamini adui atakuja akae zanzibar ashambulia tz, kama ni ni kushambulia,atashindwa nini kukaa habarini, au kutua rwanda, au nchi zingine za karibu? ungesema unaogopa kisiwa kitabadilika kuwa somalia kwa magaidi hapo ningekuelewa.
 
Mi naamini ndiyo alilenga huko.
 
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Tunapakana na nchi nane,Saba kukiwa hakuna mpaka baharini,adui kwa nini asipitie huko!?
 
Mi naamini ndiyo alilenga huko.
as if bara hakuna magaidi? ingia kwenye system, au uliza mtu yeyote aliyepo kwenye system atakuambia, bara kuna magaidi wengi ajabu. na kama kuamin kwamba walipo waislam kuna ugaidi (jambo ambalo sio) mbona bara kuna waislam wengi kuliko raia wote wa zanzibar? shehe ponda huyo unayemwona ana watu wengi sana magaidi. wapo na wanaachwa tu.
 
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Lissu hajawai sema Zanzibar iachiwe , ukiwa unaisikiliza ccmu bila kumfuatilia Lissu alivyoyatamka hayo maneno bas utaishia kuwa mbumbumbuuu , wajinga na wavivu kufuatilia ni mtaji wa ccmu , mf ccmu walikuwa wanazurura kuwaambia watu kuwa upinzan wanapinga uwekezaj wkt upinzani walikuwa wanapinga mkataba mbovu na sio uwekezaj , na wapo wajinga wengi kama wewe waliwaponda upinzani bila kutenga muda kuwafuatilia upinzan .

Turudi kwenye mada , Kansa ya Tz ni ccmu ndo watakuja kuuvunja muungano kwa kuwaonea watanganyika kisa sio walalamikaji , ila kipo kizaz kitakuja vuu na kitahitaj mabadiliko kwa haraka na hii itaishia kuligawa taifa so mapungufu yetu uyaelekeze kwa ccmu na sio upinzan maana wao washapokonywa hata uhuru wa kuongea
 
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Huo ni uzamani na siasa zilizopitwa na wakati,kama issue ni ukaribu kuna visiwa vingapi viko karibu yetu lkn hatujaungana navyo? Comoro, Madagascar nk vyote vipo bahar ya hindi krb kbs na nchi yetu,iweje Zanzibar? Km sio wendawazim ni nini,? Unaweza kuzuia taifa kubwa lisikushambulie iwapo linataka kwa sbb ya muungano na Zanzibar? This is crazy
 
Back
Top Bottom