China wanastrugle kukinyakua kisiwa ili isiwe chaka ya maadui lakini sisi tuko busy kukaribisha maadui. Au ni akili ndogo!!!

Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Ishu ya China na Taiwan unaifahamu lakini au wajiandikia tu ili kukidhi matamanio yako kuhusu Zanzibar ?
 
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Wanakinyakua kimabavu si kisiwa kutwambia kwenda kisiwani kwao twende kwa passport ilihali wao wanakuja bure na kumiliki ardhi kama sisi tu huku. Ilibidi huu muungano kama tanganyika ilivyowemezwa na zenj ingemewzwa.
Halafu mimi nashangaa sisi Afrika, tunakubali mipaka waliyoweka wakoloni lakini tunakataa tuliyoiweka sisi. Laiti kama mkoloni angeacha kaiunga tanganyika na zanzibar kuwa tanzania bila shaka haya yasingekuwepo.
 
Jifunze kujibu hoja fala wewe. Tunataka muungano wenye nchi moja na rais mmoja na serikali moja, Zanzibar iwe mkoa. Hatutaki muungano wa kitapeli kama huu
Exactly..
Mfano, USA ni muungano wa nchi almost 50, lakini hawana marais 50. Kila moja inaitwa State na kiongozi wake ni Governor (kama RC kwa Tz).
Rais wa nchi nzima ni mmoja tu.

Mfumo wa muungano wa Tanganyika na Znz ni haueleweki
 
Ahsante mkuu. Haya majamaa hayataki kujibu hoja kabisa.
 
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Upo sahihi Mkuu

Kuna gharama kubwa italipwa muungano ukivunjika. Kuwa na adui mapajani mwako ni tishio la kudumu.
Kutokana na Sababu hizo China inaing'ang'ani Honkong na Taiwan kwa gharama yoyote, Urusi imeingia vitani na Ukraine ili kuzuia NATO wasikae mapajani mwao, USA walinunua Alaska ili kuzuia Urusi asikae mapajani.
Hata hivyo wengi huwa hawayaoni yanaweza kutokea baadaye.

Muungano ukivunjika Zenji wanaweza kufanya kile wanachofanya Houthi Red Sea.

Zenji nayo inaweza ikapata changamoto nyingi muungano ukivunjika. Tishio kubwa kabisa mtifuano kati ya Pro Oman vs Waliokuwa watumwa kbla ya mapinduzi.

Kimsingi muungano deal. Ila maboresho makubwa yanapaswa kufanyika ili uwe muungano wa haki na usawa na hatimaye ukabalike na raia wa pande zote mbili
 
Kisiwa cha Pemba kiko karibu zaidi na Mombasa !
Kwahiyo Kenya nayo iinyakue Pemba ??!!
China anaamini Taiwan ni sehemu ya China kama ilivyokuwa HongKong !
Haihusiani na usalama wa China !!
Sidhani kama upo sahii kuhusu Taiwan
Sababu kuu ya China kuigombea Taiwan na Honkong ni usalama. fanya utafiti kabla haujabisha
 
anayedhibiti watu ni Mungu, wewe mwanadamu ukijifanya unazibiti wenzako wanaoleta hoja za maana na wewe huna hoja, utaishia kuwa kama gadafi tu, alilisha watu na kutoa pesa akifikiri wanampenda, ila kwa kitendo cha kuwanyima uhuru siku walipoungana alikamatwa kwenye mtaro wa mavi. jueni hilo kuanzia sasa, ukitaka kujua hayo yapo mioyoni mwa watanganyika wengi, angalieni namna wanavyofurahia tundu lisu anachokisema, manake kuna siku wakipat anafasi ya kuingia mtaaani pakitokea nafasi wataingia kwa wingi sana. dawa yake ni kutoa majibu ya uwazi na yanayojibu hoja, sio kuleta ubabe. unajifanya mbabe kwanini? nani umemmiliki nchi hii? au unamiliki wanadamu ndugu?
Udhibiti mzuri ni ule wa kutumia akili (hoja) na siyo nguvu.
Lisu ana hoja na anatakiwa ajibiwe kwa hoja na marekebisho kimantiki.
Kubishana naye kijuha haina maana yoyote.
Siasa lazima ziwe za hoja zenye mantiki na siyo kubwabwaja tu au kufuata mkumbo kama nyumbu.
 
Exactly..
Mfano, USA ni muungano wa nchi almost 50, lakini hawana marais 50. Kila moja inaitwa State na kiongozi wake ni Governor (kama RC kwa Tz).
Rais wa nchi nzima ni mmoja tu.

Mfumo wa muungano wa Tanganyika na Znz ni haueleweki
Upo sahihi mkuu
Inahitajika model mpya ambayo itakubaliwa na kupendwa na raia wa pande zote mbili. Iliyopo ni ya viongozi tena wa chama kimoja
 
Udhibiti mzuri ni ule wa kutumia akili (hoja) na siyo nguvu.
Lisu ana hoja na anatakiwa ajibiwe kwa hoja na marekebisho kimantiki.
Kubishana naye kijuha haina maana yoyote.
Siasa lazima ziwe za hoja zenye mantiki na siyo kubwabwaja tu au kufuata mkumbo kama nyumbu.
kuna watu wanaamini siasa zinatakiwa kuwa za kimabavu, kwasababu kwenye familia zao wamelelewa kimabavu, na dunia wanayoifahamu na kuikubali ni ya mabavu, bila kujua mabavu hayajawahi kuwa na mwisho mwema.
 
Udhibiti mzuri ni ule wa kutumia akili (hoja) na siyo nguvu.
Lisu ana hoja na anatakiwa ajibiwe kwa hoja na marekebisho kimantiki.
Kubishana naye kijuha haina maana yoyote.
Siasa lazima ziwe za hoja zenye mantiki na siyo kubwabwaja tu au kufuata mkumbo kama nyumbu.
Nakubaliana nawe mkuu
watu wanatumia hisia kutetea vitu ambavyo havijakaa sawa.
Liss kaeleza kidogo tu watu wamepagawa akitokea mtu akatulia na kuanisha kilichomo katika katiba ya zanzibar na muungano, wabara wanaweza wakalianzisha.
Njia pekee ya kuzuia mtafaruku zaidi ni kuzipatia ufumbuzi dosari za kikatiba zilizopo. Vinginevyo, wabara wakielewa kilichomo kwenye katiba, nchi inaweza ikapata mabadiliko makubwa ya kisiasa ambayo yatauharibu muungano kabisa na kuzalisha sintofahamu nyingi.
 
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.

China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Mbona unaishi enzi za zamani kabisa.
Haijalishi, iwe kisiwa au kiinchi jirani kama kiRwanda hivi, wote wanaweza kutumika kukusambaratisha. Sasa utakwenda kuvamia wote hao?
Si unaiona Ukraine alivyotumika kama chambo na sasa anavyohenya?
Hatuwezi kuvumilia muungano mbovu utufanye kuwa mateka wa kinchi kisichotaka kuungana nasi milele kwa kuogopa hayo unayodhania wewe.
 
imagine, mtu mzima anaamini adui atakuja akae zanzibar ashambulia tz, kama ni ni kushambulia,atashindwa nini kukaa habarini, au kutua rwanda, au nchi zingine za karibu? ungesema unaogopa kisiwa kitabadilika kuwa somalia kwa magaidi hapo ningekuelewa.
Mleta mada ni kilaza tu,
Uganda wamewahi kutuvamia na sio hata kisiwa.
 
Lisu ni Mdudu kizazi OG
lissu ni mwanasiasa mdomokaji tu yeye apate chakusema atasema,kiongozi hapimwi kwenye maneno matendo Yule mpe mike ubwabwaje na ndio maana ataweza sana kukusaidia kwenye sheria,ila utendaji sasa..
Yule haoni haya kusema na baadae kuja kutetea kwa kujirudi refer 2015,walimsema sana lowasa hapo awali lkn alipohamia upande wao yule jamaa alianza kumtetea huyohuyo lowasa!.
yule jamaa mi hapana hamna mtu mzuri mule..😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom