Hakuna ambaye ameoa au kuolewa atauona ufalme wa mungu. Ushahidi huu hapa

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,058
1,568
Ukiangalia mitume wale 12,

Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.

Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake.

Siku ndoa ni kikwazo kumuabudu mungu kila siku ni migogoro tu. Ndio maana Yesu akasema huwezi kuwatumikia mabwana wawili. Kanisa katoliki liliona mbali kutowaruhusu wawekwa wakfu kuoa kanisa lingekuwa na migogoro mingi kama ilivyo KKKT na Anglican
 
Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja”. Mwanzo 1:27; 2:24.
Lakini mbinguni wasahau mana watakuwa watlnatumikiana wenyewe kwa wenyewe na siyo mungu. Huo ulikuwa mtego
 
Ukiangalia mitume wale 12,

Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.

Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake.

Siku ndoa ni kikwazo kumuabudu mungu kila siku ni migogoro tu. Ndio maana Yesu akasema huwezi kuwatumikia mabwana wawili. Kanisa katoliki liliona mbali kutowaruhusu wawekwa wakfu kuoa kanisa lingekuwa na migogoro mingi kama ilivyo KKKT na Anglican
Acha kupost vitu usivyovijua maana una express ujinga wako. Kasome biblia yako upya kwa kutulia. Petrol alioa
 
Hakuoa ndo mana aliazimia kumjengea yesu kibanda pale mlimani alipogeuka sura ili waishi palepale angekuwa ana mke asingesena vile
 
Zingatia neno, "MAMAYE MKEWE" yaani mama yake na mke wake

“Naye mkwewe Simoni, mamaye mkewe, alikuwa kitandani, hawezi homa; na mara wakamwambia habari zake.
” Marko 1:30

“But Simon's wife's mother lay sick of a fever, and anon they tell him of her.”
— Mark 1:30 (KJV)
 
I'm talking about peter not simon
 
Ukiangalia mitume wale 12,

Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.

Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake.

Siku ndoa ni kikwazo kumuabudu mungu kila siku ni migogoro tu. Ndio maana Yesu akasema huwezi kuwatumikia mabwana wawili. Kanisa katoliki liliona mbali kutowaruhusu wawekwa wakfu kuoa kanisa lingekuwa na migogoro mingi kama ilivyo KKKT na Anglican
Kichwa chako umekifanya bustani ya kutunzia nywele pumbavu wewe! Hebu tuletee maandiko yanayokataza watu kuoa!
 
Ni kweli kwamba mwanamke ana distract concentration ila ndoa ni muhimu sana angalia mazingira haya mawili kwa mfano wa Biblia.

1. Wakati wa gharika.

Mungu aliona namna wanadamu walivyoasi akaiangamiza Dunia kwa maji lakini akaacha Nuhu na familia yake.

2. Sodoma na Gomora.

Wanadamu waliasi na Mungu akawaangamiza kwa moto ila akamuacha Lutu na familia yake.

Sasa kama huyo Nuhu na Lutu wasingeoa na kuwa na familia uzao wa binadamu ungekuwaje??
 
Back
Top Bottom