Tanganyika iliitaka sana Zanzibar kuliko Zanzibar ilivyoitaka Tanganyika

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
2,115
3,236
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.

Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.

Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
 
Akuna anaekata muungano,tunataka Muungano wa haki, tumepakana na nchi ngapi mpaka useme bila muungano basi wenda nchi ingeisha pinduliwa?

Ieleweke Mwalim kama aliekua kiongonzi alikua na fikra zake juu ya Muungano huu lakini je kwa muundo wa Muungano ulivyo unawezaje kujua kwamba kwa wakati huu kama angekuepo basi angeshauri usukwe tena?

Watu wenye akili zao wameuzungumzia Muungano huu na kwa mapana
Wakiemo wakina Mchungaji Mtikila, Mzee wetu Warioba wewe ni nani upinge?

Hivi mfano wa mzee WARIOBA na utumishi wake katika Taifa hili unaweza ukawa unayajua Mengi kushinda yeye hasa linapokuja swala la Muungano,

Haya mambo tuwachie watahalam sio kila mtu anaweza yazungumzia Mambo aya ,tofauti nakuja na mihemuko isio na tija
 
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.

Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.

Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
tungepinduliwa na nani? mbona unaota ndogi.
 
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.

Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.

Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
UNamaanisha tunashindwa kuvamiwa kisa tumeungana na zanzibar?

Au kuna reasoning inatupita? Emu fafanua tupate ufahamu
 
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.

Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.

Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni muungano wa uingereza na marekani,wakihofia wajamaa wenye nguvu Zanzibar haswa Abdul Rahman babu,waliona zenji itakua Cuba ya Africa,ripoti hizi walizitoa siku nyingi Kama adda yao ya kutia ripoti za kijasusi baada ya muda Fulani,hata mwandishi mihangwa mwenye harufu ya u-afisa kipenyo aliliandika Sana hili ukiachilia mbali wazanzibar Kama Ali nabwa, muungano ulitiwa Saini jumapili siku isiyo ya kazi,tia akilini,hapo ni miezi mitatu tu tangu Nyerere anusurike kupinduliwa na kuokolewa na jeshi la uingereza,humohumo ndani hofu ya dini ikaingia
 
Back
Top Bottom