Ukiendekeza mambo ya duniani na woga wake utakufa maskini

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,120
1,743
Hebu fikiri huu wizi ambao hautumii nguvu Bali akili tu.

1. Kanisani unapigwa hela kupitia sadaka na micahango mbalimbali wakiita zaka.

2. Mtaani unapigwa kwa michango mbalimbali ama harusi, vifo, sherehe kama mtoto amezaliwa au anabatizwa nk.

3. Serikalini ulipe Kodi napo kwa njia mbalimbali kama una duka au kama mfanyakazi.

4. Ada za shule nk.

Kila pahala imetengenezwa mifumo ya kukukamua. Sasa usijifunze kuikwepa kijanja au kininja utakufa mapema tena kwa njaa wakati unakipatao tena kizuri ila umezungukwa na wanyanganyi in different forms.
 
Back
Top Bottom