Search results

  1. Myebusi Mweusi

    Lijishangazi au kademu, nimuoe nani?

    NANAOMBA USHAURI Habari yako mwana JF mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninafanya kazi ya bodaboda Nilikuwa na mpenzi wangu niliyeishi nae kwa miaka 4 sasa na tuna ahadi ya kuoana Lakini mwaka juzi nilipata abiria MAMA mtu mzima ana miaka kama 45 ni mtu...
  2. Myebusi Mweusi

    Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  3. Myebusi Mweusi

    Kitimoto haitengezwi SUSHI, utakufa

    Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini? Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu hadi mifupa ichomoke kwenye nyama. Kitimoto ni tamu na salama sana.
  4. Myebusi Mweusi

    Kuhani Musa ni mganga Manyaunyau aliyechangamka

    https://www.facebook.com/gospeltvshow/videos/377460121732435/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  5. Myebusi Mweusi

    Kwanini eneo la Mashariki ya Kati lililopo baina ya mito ya Euphrates na Nile limekuwa likipiganiwa sana tangu enzi?

    KUHUSU UTAKATIFU WA ENEO LA MASHARIKI YA KATI. Na MUMBE MOMBEE Singida, Tz. +255 759770233 Feb. 5, 2024. Duniani kuna maeneo makuu kumi na mbili(12) ambayo yana Nguvu maalumu ambayo hata Sayansi ya sasa haijafikia uwezo wa kuyaelezea kwa ufasaha...yaani kujua ni nguvu gani ipo hapo maana...
  6. Myebusi Mweusi

    Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne

    Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...
  7. Myebusi Mweusi

    Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

    Bango hili lipo kwenye Kituo cha Polisi Magogoni Ferry na limeandikwa na Polisi wenyewe. Bango hili linawadhalilisheni na kuuweka bayana uwezo wenu mdogo wa kuandika. MALUFUKUKUTUPATAKATA HAPA |-> KA. KITUO CHA POLISI. Àfande Chiku hebu liondoeni bango hili haraka sana.
  8. Myebusi Mweusi

    Uovu wa shetani ni upi kwa mujibu wa maandiko?

    Mahakama huru. Mwenye ushahidi makini kuhusu uovu wa shetani auweke hapa leo kabla siku ya mwisho Sema setani alikosea 1, 2, 3
  9. Myebusi Mweusi

    Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

    Msaidizi wa zamani wa Padri (Katekisita) katika Kigango cha Kanisa Katoliki Kijiji cha Mkwajuni, Florian Mwamosi (70) amekufa baada ya kuzikwa akiwa hai katika kaburi moja na mtu anayedaiwa kumuua kwa njia ya kishirikina. Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Maweni kijijini hapo wilayani...
  10. Myebusi Mweusi

    Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

    Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso. Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia. Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo...
  11. Myebusi Mweusi

    Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata

    Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo...
  12. Myebusi Mweusi

    Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  13. Myebusi Mweusi

    Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
  14. Myebusi Mweusi

    Nini kinaendelea? Machangudoa kung'ang'ania kondomu zilizitumika?

    Mimi sina girlfriend, mchumba, mke wala mchepuko, hivyo basi mimi ni mteja mkubwa sana wa madanguro, na sehemu zinazotoa huduma za massage, ambako huko ndio ninakoenda kuuburudisha mwili na akili yangu. Kutokana na lifestyle yangu, nimegundua kondom iliyotumika ni deal sana, kwani machangudoa...
  15. Myebusi Mweusi

    Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
  16. Myebusi Mweusi

    Mapenzi ya mtandaoni yameniangushia kwa binti mwenye ulemavu, hakika huyu ndiye chaguo la moyo wangu

    Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana. Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway. Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar...
  17. Myebusi Mweusi

    Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

    Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya. Tulipiga...
  18. Myebusi Mweusi

    Natafuta dawa ya kunifanya nimuache huyu mwanamke wangu

    Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi. Nikahama ghetto naye akahama kwao na watoto wake tukapanga nyumba. Mwanamke kanizidi miaka 8. Sasa nataka...
  19. Myebusi Mweusi

    Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  20. Myebusi Mweusi

    Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

    Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne. Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma ...
Back
Top Bottom