Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa
Taarifa ya hospitali imesema mtu huyo alikuwa akipambana na ugonjwa wa figo na alihitaji kupandikizwa kiungo hicho, ili kuokoa maisha yake.
Massachusetts. Richard Slayman (62) kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka...
Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini?
Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu hadi mifupa ichomoke kwenye nyama.
Kitimoto ni tamu na salama sana.
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.
Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?
Ni hayo tu
Wadiz
Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni..
Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu?
Je nimsindikize na ndizi ama kaugali?
Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko...
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako...
Mipango inaendelea kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo, Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Rasilimali Wanyama amenukuliwa na gazeti la New Time nchini humo akisema.
"Tunaziomba shule kuanzisha...
Aisee msema ukweli mpenzi wa Mungu, utamu wa kitimoto harufu ile.
Sasa siku hizi unakula kitimoto ila ni kama nyama ya ng'ombe tu.
Kipindi sie tunakua, miaka hiyooo, mzee basi akirudi na kitimoto nyumbani ile harufu tu inatosha kuwaamsha na kuwafanya mkae ubalazani kusubiri muitwe mtoe vyombe...
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
Ebu tuelimishane,
Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei?
Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo?
Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana...
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe yapiga marufuku uingizwaji wa Nguruwe na matumizi ya mazao yatokanayo na nguruwe wilayani humo.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Machi 15, 2023 Daktari wa mifugo wilayani humo Festo Mkomba amesema zuio hilo limekuja baada ya kubainika kwa uwepo...
Nimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].
Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni...
Wataalamu wa Lishe wanashauri kutokula Mayai na Kitimoto kwa pamoja kutokana na kuwa na wingi wa Virutubisho vya Protini ambavyo husababisha Tumbo kutumia muda mrefu kumeng'enya Chakula. Inapendekezwa kula Mayai kwanza na Nyama ifuate angalau baada ya nusu saa.
Matumizi ya Matunda yenye Asidi...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass.
Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard.
Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri imeshatolewa mafuta na ngozi ya juu! Kwa wakazi woote wa wilaya ya kinondoni mnafikiwa chap kwa haraka!!
Nipe order yako mapema nikuletee
Kilo 1 tsh 11,000 tu!! Free delivery nakuletea Hadi barabarani!
Fanya kutupigia ujirambe aisee...
Tangu nakua mpaka sasa nishazeeka nasikia kuwa Gongo, Bangi na Kitimoto ni haramu. Hivi uharamu wake upo kwenye nini hasa?
GONGO
Uharamu wa Gongo upo kwenye vikorombwezo vinavyotumika kuitengenezea? Kwenye vyombo vinavyotumika kutengenezea ama kunywea? Upo kwenye sehemu inaponywewa au kwa...
Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu.
Dk. Stella Bitanyi Amesema...
Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo:
1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani?
2. Kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.