kitimoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

    Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo: 1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani? 2. Kwa nini...
  2. A

    SoC02 Jinsi walaji wa kitimoto walivyo hatarini kupata magonjwa

    Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu. Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
  3. LICHADI

    Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

    Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea madhara jamani na nyama ni tamu. ============= Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri...
  4. CodeX

    Natafuta kununua Miguu ya kitimoto kwa Dar es Salaam kwa Kongoro

    Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua. Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake. Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea. Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40. Asanteni.
  5. M

    Kitimoto nacho BEI JUU!

    Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala. Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair. ***Nakula huku Nina hofu sana
  6. Expensive life

    Walaji wa nyama ya kitimoto hatarini kuugua kifafa

    Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya. Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu...
  7. Red Giant

    Nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi

    Jinsi nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi. Kwanza mfahamu kuwa nilikuwa napika chakula kingi, siyo kama kile cha kwenye video. Mahitaji. Kitimoto kilo moja. Ndizi mzuzu kumi, napendelea zile zinakaribia kuiva(zisiive sana). Kitunguu kimoja kikubwa. Nyanya kubwa nne. Hoho moja kubwa Pilipili...
  8. Magari ya kukodisha

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kupika kitimoto

    Wakuu habari za miaka Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema Kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza kitimoto roast au ya kuchoma na makange ya kitimoto naomba anijuze anipe ushaur na changamoto za kuchukua. Ikikupendeza niambie kila unachofahamu kuhusu biashara hii...
  9. chivala

    Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Wana JF nawasalimu, Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe. Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo...
  10. I

    Kwanini baadhi ya watu hawali kitimoto?

    Inasemwa kuwa eti mfalme mmoja aliekuwa na wake wawili wazuri alialika wageni nyumbani kwake. Akaagiza wachinjwe wanyama wa kila aina kutoka katika mifugo yake - mbuzi, ng'ombe, ngamia, kuku, bata, kondoo, nguruwe, nakadhalika. Baada ya mapishi kuwa yamekamilika wake wa yule mfalme waligundua...
  11. Hepatis B

    Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

    Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako. Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k Asante sana.
Back
Top Bottom