mlango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakati unakua, nini kwenu mlikuwa mnatoaga nje asubuhi na kukirudisha ndani jioni muda wa kufunga mlango kabla ya kulala?

    Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini. Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu cha mwisho kuingizwa, hata kama umelala bahati mbaya mzee atakuamsha ukaingize piki piki yenu. Basi...
  2. J

    MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)

    JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
  3. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Dozi moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga Msichana kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
  4. I

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike. Tukio hilo lilitokea Aprili 12, katika mechi kati ya Esteghlal FC na Aluminium Arak wakati shabiki mdogo wa kike...
  5. Mzalendo Uchwara

    Kuzorota kwa mambo nchini, ni uwezo mdogo wa kuongoza au anatengenezewa mlango wa kutokea 2025?

    Kwakweli inastaajabisha namna tunavyopiga hatua kurudi nyuma kila kukicha, matatizo tuliyonayo leo tulikwisha anza kuyasahau wakati wa awamu ya Magufuli. 1. Umeme umeshindwa kupatiwa ufumbuzi, kila siku ni excuse zisizo na kichwa wala miguu. Na hilo bwawa linalotegemewa kuleta unafuu...
  6. Wizara ya Afya Tanzania

    Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  7. Jaji Mfawidhi

    Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  8. R

    COVID 19 iliyotufanya tuwahudumie wapendwa wetu kama wanyama, unapitisha chakula chini ya mlango kukwepa maambukizo. Tunamshukuru Mungu

    Tunapotafakari mwaka 2023 yatubidu kumshukuru Mungu kwamba tuliishi kama binadamu. Kuna kipindi hapo miaka ya nyuma tulikatazwa kuwazika wapendwa wetu, kuwahudumia na hata kuongea nao. Tulikatazwa kwenda kijijini desemba kwa madai kwamba tunapeleka magonjwa, wazee wetu wakawa na hofu kubwa juu...
  9. BARD AI

    Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  10. MK254

    Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

    Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea. IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding Military reveals tunnel entrance, weapons...
  11. Nsanzagee

    Mwanzo: Katika kubariki nitakubariki, na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; na kwako watatoka watawala!

    Biblia siyo maneno ya hadithi pekee. Ni Neno la kweli na lenye pumzi ya Mungu! Tangu kuwapo kwa ahadi hizo kwa Ibrahimu mpaka leo na hadi kiama, bado Neno la Mungu limeendelea kuthibitisha hayo. Ahadi hizo, ni kwa wazao wa baba wa Imani Ibrahimu na wafuasi wa kweli wa huyu Mungu JEHOVAH. Kwa...
  12. Roving Journalist

    Dkt. Maguha: Takwimu zinaonesha Saratani ya Mlango wa Kizazi inasumbua Wanawake wengi ikifuatiwa na Saratani ya Matiti

    Katika kuhakikisha elimu inawafikia watu wengi zaidi kuhusu Ugonjwa wa Saratani, Taasisi ya Ocean Road imeanza Kampeni ya kutembelea Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kushirikiana na Wataalam mbalimbali. Dkt. Maguha Stephano ambaye ni Meneja wa Huduma za Kinga anazungumzia kuhusu huduma hiyo...
  13. GENTAMYCINE

    Kama Mlango Wao kila Mtu anapita kwakuwa naturally Unapitika kwanini wakipita Wanne wenye Njaa anaweza Kufa au Kuzimia?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda Wowote na kwa Mzigo wa aina yoyote ile.
  14. BARD AI

    Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
  15. C

    Makabati na mlango vinauzwa

    Makabati na mlango vinauzwa bei 1.8m maongezi yapo ukihititaji kimoja pia sawa 0685415869
  16. Wile kadogosa

    SoC03 Saratani ya mlango wa kizazi

    Saratani ya mlango wa kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au seli zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile. Asilimia 99 ya saratani ya shingo ya kizazi...
  17. polokwane

    Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  18. Msanii

    Watanzania, huu ni wakati wa kufunga na kuliombea Taifa. Mkataba wa Bandari zetu ni mlango usiopendeza kwa haya yanayoendelea

    Amani iwe kwenu Watanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi kwamba serikali haina dini na imeenda mbali zaidi kwa kutoa hakikisho lenye ulinzi wa Kikatiba wa Uhuru wa Kuabudu. Ingawa kiutekelezaji wake unahitaji ithibati ya serikali isiyojiingiza kwenye masuala ya...
  19. M

    Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
Back
Top Bottom