Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 675
- 1,526
Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.
Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja.
Niwafundishe maadili mema na dini za mizimu ya kwetu. Tatizo mama zao kila mmoja ana kabila lake na ustaarabu tofauti wa maisha na kwetu.
Naombeni msaada tafadhali