Search results

  1. Meneja Wa Makampuni

    Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

    Habari wakubwa, Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine. Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri. Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range kwenye ngapi?
  2. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA. Serikali yetu ifanye yafuatayo: Mkurugenzi abadilishwe. Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo. Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
  6. Meneja Wa Makampuni

    Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha

    Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
  7. Meneja Wa Makampuni

    Diamond Platnumz (Simba) anaweza kuziba pengo la Kanumba kwenye tasinia ya uigizaji?

    Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi. Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli? Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi. Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita. Wakuu comment ziwe fupifupi
  8. Meneja Wa Makampuni

    Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana akili sana.
  9. Meneja Wa Makampuni

    Kampuni zinazotengeneza mitungi ya gesi hapa kwenye hichi kifuniko mnatesa wateja

    Hivi kampuni zinazotengeneza hii mitungi midogo ya gesi kwani hakuna namna hichi kifuniko cha plastic (seal) ikawekwa katika namna inayomuonesha mteja namna ya kukifungua? Au kuna namna yake ya kuifungua na mimi sifahamu ndugu zangu? Maana unakuta hadi unatumia pliers, kisu, screwdriver, etc...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Georgian politician punches opponent in face in brawl over ‘foreign agent’ law

    Georgian lawmakers came to blows in parliament on Monday as ruling party legislators looked set to advance a controversial bill on “foreign agents” that has been criticized by Western countries and sparked protests at home. Footage broadcast on Georgian television showed Mamuka Mdinaradze...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa. Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika? Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
  12. Meneja Wa Makampuni

    Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI. Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI? Tiririka mawazo yako yanaweza kuonekana. Unaweza kusimama kama waziri, injinia, mkurugenzi wa TANESCO, meneja wa bonde la...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

    Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka. Sijasomea uchumi kokote Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu Sarafu yetu inaporomoka. Hatuuzi nje. Hatupati dolla nyingi. Matokeo yake dolla inakosekana sokoni. Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi. Matokeo yake ya...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Hivi ni kweli TPDC wanasambaza LPG? Au kuna makosa katika uandishi?

    Soma hapa: TPDC surveying LPG piping viability in Dar es Salaam By Francis Kajubi , The Guardian Published at 09:14 AM Apr 05 2024 TANZANIA Petroleum Development Corporation (TPDC) in collaboration with TAQA Dalbit Tanzania Limited is conducting a survey on the actual demand for liquefied...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, Mbunge, Mganga Mkuu, Afsa Ardhi, RPC)

    Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu. Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC). Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki. Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini. Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu. Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti. Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa. Anajua kucheza na nafasi yake. Kiukweli Arusha inakwenda kuwa...
Back
Top Bottom