Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,366
- 8,318
Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka.
Sijasomea uchumi kokote
Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu
Sarafu yetu inaporomoka.
Hatuuzi nje.
Hatupati dolla nyingi.
Matokeo yake dolla inakosekana sokoni.
Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi.
Matokeo yake ya mwisho ni nini?
JIBU: SARAFU YETU INAPOROMOKA JAMANI HADI HURUMA.
Jana Tsh 2580 ilikua ni sawa na DOLLA 1.
What do you expect ndugu zangu.
Ukitoa kitu chako kwa wingi maana yake hakina thamani.
Hakuna balance nzuri kati ya dolla na shilling yetu.