lpg

An LPG carrier or LPG tanker is a gas carrier/gas tanker ship designed for transporting liquefied petroleum gas (LPG) in bulk.
List of LPG carrier builders:

Jiangnan
Hyundai Mipo
Hyundai Heavy Industries
Kawasaki Shipbuilding Corporation
Mitsubishi Heavy IndustriesSouth Korea, Japan and China are the main countries where LPG tankers are built, with small numbers built in the Netherlands and Bangladesh.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Hivi ni kweli TPDC wanasambaza LPG? Au kuna makosa katika uandishi?

    Soma hapa: TPDC surveying LPG piping viability in Dar es Salaam By Francis Kajubi , The Guardian Published at 09:14 AM Apr 05 2024 TANZANIA Petroleum Development Corporation (TPDC) in collaboration with TAQA Dalbit Tanzania Limited is conducting a survey on the actual demand for liquefied...
  2. Kijakazi

    Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

    Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ? Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Eng. Mos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers)

    Ndugu yetu Eng.Amos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers) na wanaotaka kufanya biashara hii. Kitabu hiki kitasaidia kuboresha namna ya kufanya biashara ya LPG ili iwe ya faida, endelevu na salama...
  4. Jamii Opportunities

    Operations Supervisor at Puma Energy – LPG

    LPG – Operations Supervisor Puma Energy Main Purpose: In collaboration with Finance Stocks Team and Business Support Supply section, we are looking for a high performing individual who will Manage and maintain inventory and supplies by receiving, storing and delivering items as required...
  5. Fursakibao

    Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
  6. K

    Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

    Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo. Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
Back
Top Bottom