Search results

  1. DON YRN

    Ni kweli tumetolewa; hatukatai. Umri wa wachezaji wetu uko sahihi?

    Ni katika kujaribu kuwaza na kufikiria nje ya box na mawazo yangu binafsi. Mm siyo mtu wa mambo ya mpira sana lakini kwa hii AFCON nilikuwa nipo macho kuifuatilia timu yangu ya Taifa kwa kila hatua. Kitu nilichokigundua kwa macho na akili na umakini niliokuwa nao kwa namna wachezaji wetu...
  2. DON YRN

    Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

    Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu! Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza? Kwa sasa wengine mnakimbilia...
  3. DON YRN

    Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  4. DON YRN

    Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

    Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
  5. DON YRN

    Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
  6. DON YRN

    Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

    Ukraine inahitaji vijana kama 450,000 hadi 500,000 toka nje ya nchi kwa ajili ya kupambana na Urusi. Sasa huu mchongo ukitiki wana wenye connection tushituane wajameni. ====== Ukraine could begin recruiting refugees living in Europe in a bid to boost its battle-stricken armed forces. Rustem...
  7. DON YRN

    Hii picha imenifikirisha sana, naamini hata ww itakufanya ufikiri zaidi

    Nimeipata katika pitapita zangu mtandaoni.
  8. DON YRN

    Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k. Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta...
  9. DON YRN

    Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba tengefu kwa ajili ya uzinzi na uasherati?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika. Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati? Wako katika ujenzi wa Taifa, DON YRN.
  10. DON YRN

    Kurasimisha makazi eneo la machimbo ya mchanga, Kunduchi(mashimoni) ulikuwa uamuzi sahihi?

    Ni kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi. Swali langu ni; Je, Mamlaka za...
  11. DON YRN

    Ukiombwa leseni ya gari na ukatoa bila kiambatanisho, imekula kwako!

    Wale mabwana wana njaa hatari, hata buku buku wanachukua. Ole wako utoe leseni bila kiambatanisho utaulizwa hadi "herro, kwa nini tairi za gari yako zina vumbi?, nakuandikia kosa. Ukiombwa leseni, toa na kiambatanisho baadaye utakuja nishukuru nimekaa pale!.
  12. DON YRN

    Vijana tunapitia wakati mgumu sana kwenye utafutaji. Chukua hii, itakufikirisha zaidi

    Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata. Haya maisha ya utafutaji yamejaa vitu vigumu na vizito ambavyo siyo rahisi mtu kukuelezea ni namna gani...
  13. DON YRN

    SoC03 Jinsi ninavyofaidika na uzalishaji wa hizi bidhaa nilizojifunza mtaani kuliko Elimu yangu lakini tatizo ni kwamba ...

    Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
  14. DON YRN

    SoC03 Afya ya mtanzania mikononi mwa baba na mama ntilie

    Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
  15. DON YRN

    SoC03 Upotoshaji wa kiuandishi unavyorudisha nyuma maendeleo ya lugha ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
  16. DON YRN

    SoC03 Tanzania ya viwanda: Mei Mosi na kundi lililosahaulika ndani yake

    Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya kila siku kwa kila Mtanzania. Bidhaa zenye kuzalisha faida za thamani ya mamilioni ya shilingi na...
  17. DON YRN

    SoC03 Kuibuka kwa Taasisi/vikundi vingi vya kukopesha pesa mtandaoni: Je, wananchi wana uelewa? Usalama wa Taarifa Binafsi unazingatiwa?

    Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii. Kumekuwa na ongezeko kubwa...
  18. DON YRN

    Je, Serikali yetu inatuficha hili?, hali ya huko nyikani(Mbuga na hifadhi za wanyama) ikoje hapa Tanzania?

    Habari za mchana wasaka tonge na ma-hustlers popote mlipo?. Nina imani mpo salama japo matatizo hatulingani. Ni hivi; kwa takribani wiki kadhaa sasa hasa hii kanda ya Afrika Mashariki tumekuwa tukizungumzia habari za ukame!, ukame!. Hali hii imepelekea hasa sisi wakazi wa Pwani na viunga vyake...
  19. DON YRN

    Pumzika kwa amani TAKEOFF

    Rest easy man...
  20. DON YRN

    Upendeleo wa kijinsia ni chanzo cha ukatili wa kijinsia, wanaharakati liangalieni

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!... na kazi iendelee. Nilikuwa napitia habari na majalada mbalimbali humu mitandaoni kuhusu ukatili wa kijinsia hasa kwa wanandoa, aisee hali inatisha mno hasa kwenye huu uchumi wa kati. Kuna nyakati inabidi kukaa chini km Taifa hasa...
Back
Top Bottom