Search results

  1. N

    Tumeamua Jiji la (Dar) lipambwe na chupa za Energy drink? au wazalishaji wa bidhaa hizo wapo juu ya Sheria

    Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani ndani ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na wimbi kubwa la kuenea kwa taka za chupa za plastiki za rangi hasa zinazotokana na vinywaji vya 'Energy drink' hali ambayo inaendelea kushamiri zaidi. Katika uchunguzi wangu ambao...
  2. N

    Wanafunzi wa vyuo wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji (Ngorongoro) wadai hawajilipiwa ada na mahitaji mengine

    Baadhi ya wanafunzi kutoka jamii ya kimasai, Wilaya ya Ngorongoro wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji chini ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanadai kumekuwepo na kusuasua kwa malipo ya ada na mahitaji mengine kwa wanufaika waliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa leo...
  3. N

    Haya machinjio ya Nyama Wilayani Uyui (Tabora) ni hatari kwa Afya

    Huu ndio muonekano wa maeneo ya kuchinjia vitoweo katika Kata ya Goweko ambapo pia ni kwa ajili ya maeneo mbalimbali ikiwemo Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora. Taarifa ninazozijua ni kuwa Serikali ilitoa zaidi ya Shilingi Milioni 25 kwa ajili ya machinjio hayo kwa ajili ya kata hizo...
  4. N

    Wakazi wa TAZARA (Dar) na maeneo jirani tumeathiriwa na moshi wa malighafi zenye sumu zilizolipuka kwenye godauni

    Jamani tunaomba kupaza sauti zetu, kwa siku ya jana Mei 15, 2024 ilikuwa siku ngumu zaidi kwa wakazi wanaozunguka eneo la godauni la kuhifadhia 'sodium' kwenye eneo la barabara Mchicha Jijini Dar es Salaam ambapo kulitokea moto ambao haijaelezwa wazi ulitokana na nini. Barabara za maeneo ya...
  5. N

    Dr Tulizo: Kwa mwaka 2023 asilimia 42 ya wagonjwa waliohudumiwa JKCI waligundulika kuwa na shinikizo la juu la damu

    Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya Shinikizo la juu la damu ambayo uadhimishwa kila Mei 17, kila mwaka, Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka hospitali ya JKCI,Dr Tulizo Shemu amesema kuwa katika wastani wa watu wazima 10 kati yao watatu hadi watano wanakuwa na shinikizo la damu...
  6. N

    Olengurumwa : Kukosekana kwa familia imara inaweza kuwa sababu ya kuchochea uharifu na kuporomoka kwa maadili

    "Faida za kuwa na familia imara yenye amani, mshikamano na upendo kwa watoto ni kubwa sana, kwanza watoto watakuwa salama, sio rahisi watoto kufanyiwa ukatili, watoto watakuwa na maadili mazuri lakini utaona hata idadi ya watoto wa mitaani inapungua" Mratibu THRDC, Wakili, Onesmo Olengurumwa...
  7. N

    Waandishi wa habari waaswa kuwaibua wakwepa kodi, wakumbushwa nafasi yao kuchochea ufikiwaji wa malengo ya Bajeti

    Katika kuhakikisha Serikali inafikia malengo ya bajeti kama zinavyopitishwa waandishi wa habari nchini wamehaswa kutumia vyema uwezo na nafasi zao kitaaluma kuchochea ufikiwaji huo ili kuchochea maendeleo ya wananchi. Kauli hiyo imetolewa Mei 12, 2023 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano...
  8. N

    Chama cha Watu wenye Ualibino Tanzania (TAS), THRDC walaani vikali tukio la kudaiwa kuvamiwa na kushambuliwa kwa mtoto mwenye ualibino Geita.

    Siku chache baada ya kuripotiwa kwa tukio la kuvamiwa na kushambuliwa kikatili kwa Mtoto mwenye ualibino Katoro, Mkoani Geita, Chama cha Watu wenye Ualibino Tanzania (TAS) pamoja na Mtandao wa Watetezi wa haki za Binadamu (THRDC) wameelaani tukio hilo na kutoa wito kwa mamlaka kuwachukulia hatua...
  9. N

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na...
  10. N

    Kampuni ya Farmbase, Farmers Center wanoa wafugaji na wakulima, matumizi ya bidhaa zilizosajiliwa yasisitizwa kuepusha madhara

    Suleiman Msellem ambaye Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni za Farmbase, Farmers Center, ambazo ujihusisha na uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa dawa za mifugo na pembejeo za kilimo nchini na nje ya mipaka ya Tanzania amewahasa wafugaji pamoja na wakulima kununua bidhaa za kilimo na mifugo kutoka...
  11. N

    JKCI yashirikiana na wataalamu kutoka Muntada Aid kuwafanyia upasuaji watoto 40 wenyewe matatizo ya moyo

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) inaendesha kambi maalumu ya siku tano ambayo inaokoa zaidi ya Bilioni moja kwa Watoto 40 ambao wangetakiwa kulipia matibabu ya upasuaji wa mshipa ya moyo kwa kupasua kifua pamoja na tundu dogo. Akizungumzia Kambi hiyo ambayo imewakutanisha wataalamu...
  12. N

    MOI: Tutakuwa na kambi maalumu ya uchunguzi kwa watoto wadogo wenye matatizo ya mifupa na viungo

    Kufuatia taasisi ya Tiba na Mifupa (MOI) kupokea kwa wingi watoto wenye matatizo ya muda mrefu ya mifupa na viungo, wameamua kundaa kambi maalumu ya uchunguzi kwa watoto wadogo changamoto hiyo ili kuwafanyia uchunguzi bure na kubaini magonjwa yanayowakabili. Hayo ameyasema leo April 25, 2024...
  13. N

    JKCI yatambulisha huduma maalum itakayowezesha baadhi ya wenye matatizo ya moyo kutibiwa wakiwa nyumbani

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa wakishughulika nazo kupatiwa huduma wakiwa majumbani kwao. Akizungumza wakati akitambulisha huduma hiyo...
  14. N

    Waziri Ummy ataadharisha unywaji wa pombe uliokithiri unavyochangia ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza. Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
  15. N

    Kuelekea miaka 60 ya Muungano, NEMC yasisitiza umuhimu wa kufanya tathimini za athari za Mazingira kwenye uanzishwaji wa miradi

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeendelea kuwasisitiza wananchi wanaotaka kuanzisha miradi mbalimbali kuzingatia tathmini ya Athari kwa Mazingira ili kuepuka changamoto za uharibifu wa mazingira na kuchukuliwa hatua za kisheria endapo wataenda kinyume. Hayo...
  16. N

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman: Mtanzania yeyote mwenye akili hakuna atakayelalamika namna Muungano unavyoendeshwa

    Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo amewahasa wanaofahamu vyema manufuaa yaliyopo kuendelea kuwaelimisha wengine hususani vijana ili waweze...
  17. N

    TAWA yafanya msako wa mamba tishio kwa maisha ya binadamu Rufiji

    Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
  18. N

    KERO Mazingira ya Kituo cha Daladala cha Kivukoni upande wa Kigamboni hali sio nzuri

    Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya. Mamlaka za Dar...
  19. N

    Mbunge Byabato: Serikali imetoa Sh Bilioni 15 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Bukoba

    Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
  20. N

    Bashungwa: Zinahitajika Bilioni 500 kujenga Barabara zilizoharibiwa na Mvua za El-Nino

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha Shilingi Bilioni 500 ili kuwezesha urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja katika hali yake ya...
Back
Top Bottom