Habari za mwisho wa weekend wanajamii.
Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe.
Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia ilikuwaje/ ulifanya kioja gani?
Kwangu
1. Mwaka Mpya Arusha 2018,
Mimi na jamaa yangu tukaenda kupata mlo...
"Ask not what your country can do for you,but what you can do for your country " yaani
"Usiulize nchi yako inaweza kukufanyia nini,ila jiulize wewe unaweza kuifanyia nini nchi yako"
Hiko ni kifungu cha maneno maarufu ambacho kilitamkwa katika hotuba ya John F. Kennedy, kipindi akiapishwa kuwa...
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
Dar es Salaam
Mwanza
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa jiji. Mpaka kufika 2035 ni Manispaa/Mji upi utakuja kupandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Manispaa/Miji hiyo...
Awali ya yote natumaini wananchi wenzangu wote mpo salama.
Ndani ya kipindi hiki cha miezi miwili kumeibuka mjadala mkali ukihusu changamoto za muungano kutoka pande zote mbili za muungano. Mda mwingi umetumika kujadili changamoto kuliko kuweka mawazo ambayo yatatatua changamoto hizo.
Uzi huu...
Miaka miwili iliyopita huko Kigamboni,
Nilikuwa natoka kwangu na kwenda dukani kufuata mahitaji, wakati nipo njiani kuna vijana watano walikuwa kwenye mjadala juu ya kufanikiwa.
Ulikuwa mjadala wenye mabishano pia. Walitajwa watu maarufu wengi kama mfano wa watu wenye mafanikio.
Walitajwa ...
1.University of Dar es Salaam
2.Sokoine University
3.Nelson Mandela African Institute
4.Mbeya university
5.Catholic university of Health
6.Mwenge Catholic University
7.Moshi Cooperative university
8.Mzumbe university
9.Kilimanjaro Christian college
10.University of Arusha
Kwa ambao vyuo vyenu...
Niliyojivunia:
1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa wakiongea kwa kuangaliana makabila tu, yaani Mhutu kwa Mhutu au Mtutsi kwa Mtutsi hata kama wamekaa...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama
Biashara
1. Dar es Salaam
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
Biashara ina points 9...
Leo katika sikukuu hii ya wafanyakazi duniani, nimeona itakuwa ni vyema kujuzana juu ya wataalam muhimu katika katika tasnia ya ujenzi.
Hapa nalenga zaidi ujenzji wa Majengo madogo,yaani
Nyumba za chini mpaka ghorofa mbili
Frame za maduka
Zahanati
Shule
Majengo ya ofisi
1.AFISA MIPANGO...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +.
Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
Dar es Salaam Dar es Salaam Dar es Salaam, Jiji la pili kwa ukubwa Afrika Mashariki. Limetajwa katika tungo za nyimbo kibao na wasanii wa kila kizazi.Jiji lenye mjumuiko wa makabila yote 126 napa nchini na watu wa mataifa mbalimbali.
Lakini limekuwa likijulikana kama Jiji la kibiashara zaidi...
MAKALA YA 10
Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .
1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na...
MAKALA YA 9
Leo tuangazie janga ambalo limekuwa likitokea katika nchi yetu kila baada ya miaka kadhaa. Kuanguka kwa Majengo
1.Sababu kuu za Kuanguka kwa Majengo ni kama zifuatazo
MSINGI WA JENGO KUWA DHAIFU
Tabia za ardhi za maeneo/Miji na mitaa hutofautiana.
Maeneo ya kutuwamisha...
Arusha,Zanzibar,Kilimanjaro,Mara na Mbeya ni moja kati ya sehemu ambazo zimekuwa ukipata sifa lukuki juu ya uzuri wa maeneo ndani ya mikoa hiyo.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuonesha uzuri wa Dar,Jiji ambalo mamillion ya watu pamekuwa nyumbani....Kuna maeneo mengi mazuri na vivutio vingi...
Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo.
Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo
SEHEMU YA KWANZA
1.HOW I MET YOUR MOTHER
Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily...
MAKALA YA 7
Karibu katika Makala yenye kukuhabarisha mambo kadhaa Juu ya Ujenzi,leo tunaangazia japo kwa ufupi juu ya "Nyufa"
1.Nyufa ni mpasuko/Mipasuko inayojitokeza katika sehemu ya jengo I.e Ukuta,Nguzo,beam au msingi.
-Nyufa ni tatizo la pili kwa ukubwa linalokumba majengo ukiachana na...
zifuatazo ni movie 4 nzuri ambazo unaweza zicheki wiki hii ukiwa umepimzika.
Kwenye orodha zipo 4, ila Angalia angalau 3.
WIKI YA KWANZA
SAVING PRIVATE RYAN
waigizaji: Tom Hanks, Matt Damon, Vin Disel
Muongozaji: Steven Spielberg
Mwaka: 1999
Mahadhi, Drama + Kivita
Inahusu: Baada Wizara ya...
Mara ya mwisho tuligusia mitindo/styles za muonekano ambazo wale wenye Ukwasi/matajiri,hupenda kuitumia.
Sasa tuangazie mitindo ambayo hutumiwa kwa wingi na wenye kipato cha Kati.
1.
A.MTINDO WA MODERN
ulianzishwa miaka ya 1920
Ulianzia ulaya
Umbo la jengo hutokana na kazi husika
Utumizi wa...
MAKALA MAALUM
karibuni katika Makala nyingine yenye kuelimisha japo kwa uchache Juu ya mambo katika yaliyopo katika ujenzi.
Leo tutaangazia katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo.
1.Kama ilivyo kwa Mavazi na Simu;Majengo nayo huwa na muonekano wa mitindo tofauti tofauti yenye kuvutia...
1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma.
Unabisha....?
-Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo.
2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo unapunguza uwezo wa jengo kudumu mda mrefu.
Unabisha....?
-bati za nyumba za Dar nyingi zina kutu kuliko za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.