Filamu/ Movie tatu za wiki

greater than

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,099
1,886
zifuatazo ni movie 4 nzuri ambazo unaweza zicheki wiki hii ukiwa umepimzika.

Kwenye orodha zipo 4, ila Angalia angalau 3.
WIKI YA KWANZA

SAVING PRIVATE RYAN
waigizaji: Tom Hanks, Matt Damon, Vin Disel
Muongozaji: Steven Spielberg
Mwaka: 1999
Mahadhi, Drama + Kivita
Inahusu: Baada Wizara ya Vita ya Marekani kupata taarifa kuwa wanajeshi wake wa4 wote familia moja wamefariki, Wizara inamtuma Kapteni Miller na wenzake kwenda kumchukua ndugu wa mwisho wa familia ya Ryan, ili arudi nyumbani....
  • Bonge la movie, Kuna actions nzuri.
  • Moja ya filam za mwanzo Vin Disel kuigiza
Siku ya kuangalia: Jumamosi au Jumapili
Saving_Private_Ryan_poster.jpg

A STAR IS BORN
Waigizaji: Bradley Cooper, Lady Gaga na Sam Elliot
Muongozaji: Bradley Cooper
Mahadhi, Drama + Romance + Musical

Yahusu: Jack muimbaji maarufu wa mahadhi ya country, pia ni urahibu wa madawa ya kulevya na pombe. Siku anatembelea baa moja hivi, wakati yupo hapo mwanadada Ally ataimba na kumshangaza Jack.

  • Kuna nyimbo nzuri na Lady gaga ni moto
  • Bradley anazidi zihirisha ubora wake katika Uigizaji na uongozaji
Siku: Alhamisi na Ijumaa

images-104.jpeg

CHOZI LA BABA
Waigizaji: Mzee Majuto
Mahadhi: Drama
Mwaka : 1997
Inahusu: Mtoto wa Mzee Majuto ni tajiri mfanyakazi serikalini na amemuoa Bi. Siyawezi.
Mzee Majuto atafunga safari mjini na kwenda kukaa kwa mwanaye, Mateso atakayokumbana nayo mh...
  • Kabla ya kuanza vichekesho, majuto alikuwa moto kwenye Drama
  • Ngumu kuipata mtaani, ila utafurahia ukiiona.

CATCH ME IF YOU CAN
waigizaji:Tom Hanks ,Leonardo Di Caprio na Christopher Walken
Muongozaji:Steven Spielberg
Mahadhi : Drama + Crime
Inahusu : Baada ya wazazi wake kutarakiana, Frank anatoroka nyumbani na kwenda kuanza Maisha yake. Ili kumudu maisha Frank atakuwa bingwa wa kufoji Cheki za Benki na nyara zinazomuwezesha kuwa Daktari, Rubani hadi wakili.
- Itakjondoa Katika hali ya kukata tama
Siku : Jumatatu hadi Ijumaa

download-1.jpeg

Muwe na wiki njema
 
WIKI YA PILI
Wiki hii nakupendekezea za kuchangamsha Ubongo na kukupa tabasamu la kutosha, mana sikukuu nyingi.

1.MAD MAX: FURY ROAD
Waigizaji : Tom Hardy,Charlize Theron na Nicholous Houltz
Muongozaji : George Miller
Mahadhi : Action
Mwaka : 2015
Inahusu : Katika dunia ambayo imeangamia kwa Vita.Max anakamatwa na kupelekwa katika ngoma ya Immortal Joe ,ambaye watu wake wanaamini Joe hafi ,anaishi Milele.
Max anatumika kuchangia vijana wa Joe damu.Akiwa kwenye msafara wa kwenda kubadilishana mafuta na silaha, atashirikiana na mkuu wa msafara (Furiosa) katika kutoroka.
-anza wiki kwa hii movie ,ni action mwanzo mwisho.
-Iliigizwa Botswana
20240413_180319.jpg

2.ETERNAL SUNSHINE OF SPOTLESS MIND
Waigizaji : Jim Carrey,Kate Winslet,Mark
Muongozaji: Michel Gondry
Mahadhi : Drama + Romance + Science fiction
Mwaka : 2004
Inahusu : Joel Baada ya kuachana na mpenzi wake ,ataenda kwenye kampuni ya Lacuna (inahusika na ufutaji wa kumbukumbu kwenye ubongo) ili afute kumbukumbu za penzi lake na Clementine.
Wakati wa tukio la kufuta kumbukumbu,Joel atapata kumbukumbu ya matukio mazuri katika penzi lao ....
-Pata kumuona Jim Carey nje ya vichekesho
-Itafaa ukiiangalia Alhamis/Ijumaa
download-4.jpeg

3.YELLOW CARD
Waigizaji : Leroy Gopal,Ratidzo mambo,Lazarus Boora
Muongozaji : John Riber
Mahadhi: Romantic+Comedy
Mwaka : 2000
Tiyane kijana mwenye kipaji cha mpira anapata funzo kwa kufanya ngono bila kinga, ambapo atapata misusuko katika kulea mtoto huku akifukuzia ndoto zake.
-utacheka ,utaelimika na kuwa Inspired.
-Kaa na familia Jumamosi ,ufurahi.
download-3.jpeg
 
View attachment 2962499

2.ETERNAL SUNSHINE OF SPOTLESS MIND
Waigizaji : Jim Carrey,Kate Winslet,Mark
Muongozaji: Michel Gondry
Mahadhi : Drama + Romance + Science fiction
Mwaka : 2004
Inahusu : Joel Baada ya kuachana na mpenzi wake ,ataenda kwenye kampuni ya Lacuna (inahusika na ufutaji wa kumbukumbu kwenye ubongo) ili afute kumbukumbu za penzi lake na Clementine.
Wakati wa tukio la kufuta kumbukumbu,Joel atapata kumbukumbu ya matukio mazuri katika penzi lao ....
-Pata kumuona Jim Carey nje ya vichekesho
-Itafaa ukiiangalia Alhamis/Ijumaa
View attachment 2962498

3.YELLOW CARD
Waigizaji : Leroy Gopal,Ratidzo mambo,Lazarus Boora
Muongozaji : John Riber
Mahadhi: Romantic+Comedy
Mwaka : 2000
Tiyane kijana mwenye kipaji cha mpira anapata funzo kwa kufanya ngono bila kinga, ambapo atapata misusuko katika kulea mtoto huku akifukuzia ndoto zake.
-utacheka ,utaelimika na kuwa Inspired.
-Kaa na familia Jumamosi ,ufurahi.
View attachment 2962497
Nili ipenda Sana hii yellow card
 
WIKI YA TATU
Wiki hii ni napendekeza movies maalum kwa wapambanaji wote...
Wenye kupambania vipaji vyao,kazi na uhuru.

1.SOUL
images (39).jpeg

Waigizaji: Jamie Foxx, Tina Fey,Graham Norton
Muongozaji: Peter Doctor
Mahadhi : Fantasy+Comedy
Mwaka : 2020
Inahusu : Joe Gardner ni mpiga kinanda mwenye kipaji cha kipekee lakini ni mwalimu wa zamu shule ya Msingi huko Jijini New York,Anapatiwa mkataba wa kuwa mwalimu wa kudumu lakini anasita kusaini
Kupitia rafiki yake ,Joe anapata nafasi ya kuonesha uwezo wake mbele ya mwanamziki nguzi,wakati akielekea kwenye tamasha Joe anatumbikia ghafla kwenye shimo na kuamka akiona roho yake.....

2.SARAFINA
images (31).jpeg

Waigizaji : Leleti Kumalo,Whoopi Goldberg,Dumisani Dlamini
Muongozaji : Darrell Roodt
Mwaka : 1992
Mahadhi : Musical + Drama
Inahusu : Imejimita katika maisha ya wanafunzi wa Shule huko Soweto nchini Afrika Kusini katika Kipindi cha Tawala kandamizi ya wakaburu dhidi ya Waafrika kusini weusi,

3.COACH CARTER
images (40).jpeg

Waigizaji: Samuel L.Jackson,Rick Gonzalez, Rob Brown
Muongozaji: Thomas Carter
Mwaka : 2005
Mahadhi: Drama+Sports
Inahusu : Ken Carter anapata ajira ya kuwa kocha wa timu ya Basket ya shule ya Richmond, California. Wanafunzi ni jeuri,wana dharau na midomo yenye.
Kocha Kenny ataanza kuwabadilisha tabia na kuwafanya wawe timu bora na matokeo mazuri darasani.

Hizo filamu unaweza zitazama katika siku yoyote katika wiki na ukafurahia...

Usikate tamaa,Pambana...
 
Attachments

  • images (39).jpeg
    images (39).jpeg
    35.2 KB · Views: 2
zifuatazo ni movie 4 nzuri ambazo unaweza zicheki wiki hii ukiwa umepimzika.

Kwenye orodha zipo 4, ila Angalia angalau 3.
WIKI YA KWANZA

SAVING PRIVATE RYAN
waigizaji: Tom Hanks, Matt Damon, Vin Disel
Muongozaji: Steven Spielberg
Mwaka: 1999
Mahadhi, Drama + Kivita
Inahusu: Baada Wizara ya Vita ya Marekani kupata taarifa kuwa wanajeshi wake wa4 wote familia moja wamefariki, Wizara inamtuma Kapteni Miller na wenzake kwenda kumchukua ndugu wa mwisho wa familia ya Ryan, ili arudi nyumbani....
  • Bonge la movie, Kuna actions nzuri.
  • Moja ya filam za mwanzo Vin Disel kuigiza
Siku ya kuangalia: Jumamosi au Jumapili
View attachment 2955714

A STAR IS BORN
Waigizaji: Bradley Cooper, Lady Gaga na Sam Elliot
Muongozaji: Bradley Cooper
Mahadhi, Drama + Romance + Musical

Yahusu: Jack muimbaji maarufu wa mahadhi ya country, pia ni urahibu wa madawa ya kulevya na pombe. Siku anatembelea baa moja hivi, wakati yupo hapo mwanadada Ally ataimba na kumshangaza Jack.

  • Kuna nyimbo nzuri na Lady gaga ni moto
  • Bradley anazidi zihirisha ubora wake katika Uigizaji na uongozaji
Siku: Alhamisi na Ijumaa

View attachment 2955716

CHOZI LA BABA
Waigizaji: Mzee Majuto
Mahadhi: Drama
Mwaka : 1997
Inahusu: Mtoto wa Mzee Majuto ni tajiri mfanyakazi serikalini na amemuoa Bi. Siyawezi.
Mzee Majuto atafunga safari mjini na kwenda kukaa kwa mwanaye, Mateso atakayokumbana nayo mh...
  • Kabla ya kuanza vichekesho, majuto alikuwa moto kwenye Drama
  • Ngumu kuipata mtaani, ila utafurahia ukiiona.

CATCH ME IF YOU CAN
waigizaji:Tom Hanks ,Leonardo Di Caprio na Christopher Walken
Muongozaji:Steven Spielberg
Mahadhi : Drama + Crime
Inahusu : Baada ya wazazi wake kutarakiana, Frank anatoroka nyumbani na kwenda kuanza Maisha yake. Ili kumudu maisha Frank atakuwa bingwa wa kufoji Cheki za Benki na nyara zinazomuwezesha kuwa Daktari, Rubani hadi wakili.
- Itakjondoa Katika hali ya kukata tama
Siku : Jumatatu hadi Ijumaa

View attachment 2955721

Muwe na wiki njema
Steven Spielberg hanaga kazi mbovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom