Search results

  1. babukijana

    Nimemuona mwizi mahali ninapoishi

    Alivunja mlango
  2. babukijana

    Wapi alipo mwamba Amber Rutty?

    Kabakwa na kudundwa
  3. babukijana

    Ujenzi wa ghorofa: Nimeshaleta kifusi cha kwanza

    Hongera mkuu hata Mbuyu ulianza km mchicha👊
  4. babukijana

    Ndoa hizi zitatuua Jamani!

    Mkuu vumilia tu,mwana kulitaka mwana kulipata. Mi nilikua nae km huyo. Nikitoka job sa 5 usiku Nikawa kuepusha mambo napita pub piga moja mbili ili nikirudi kalala. Aah siku nikabanishwa na polisi mtaani nikalazwa selo Mara ya pili tena selo. Yote ni kumkwepa yeye tu. Nikaona hapa ntakufa...
  5. babukijana

    Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Tukushauri nini tena? Kunywa krolokwini 20 gonga na sari beer mbili malizia na kisichana nyagi upunguze maumivu. Mrejesho usilete.
  6. babukijana

    Je, Tundu Lissu kumstaafisha Siasa Abdulrahman Kinana?

    Atastaafu kwa umri sio boya tundu lisu,huyo kwanza kesho anawakimbia hapo manyumbu nyie.
  7. babukijana

    Ndoa yangu inateketea

    Aisee lete mrejesho ushauri hamna.
  8. babukijana

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Baby walai naapa hamna fixion hapo hayo yote yalitokea
  9. babukijana

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Nilitoka mbali huko, mshenzi mmoja tumetoka wote home,mama yangu anapika kuku wa kienyeji. Hatukurudi. Hawa sijui polisi waliandikisha pale fire tumekufa. Yaani mochwari hii hapa. Dah malaika wapo tu,doctor mmoja muhindi ndio akasema wazima hawa piga drip. Siku3 tunazinduka ni km mazingaombwe...
  10. babukijana

    Mke wangu amekosa choo kwa siku saba, nisaidieni

    Mkeo kakosa kunya siku7 tufanyeje sasa? Madoctor wako hapo pembeni tu si ukawaulize hao.
  11. babukijana

    Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Watume hamna aliyewakataza.
  12. babukijana

    "Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

    Sijjawai kumsifia mwanamke wangu hata mmoja. Akitaka kitu anapata mda huo.
  13. babukijana

    Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    We wa wapi? Turkey sio England ni linchi la ajabu tu. Mara3 sijaenda kufanyiwa surgery kwa ajili yao.
  14. babukijana

    Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Naona tunaongea vitu tofauti. Yes lobster,crab,prawns,oyster.tuna ni vigumu sana wavuvi wetu kupata. Hao samaki wanapatikana deep sea. Tatizo vyombo vyao dhaifu. Mzanzibar ye anakuja na mzigo toka kwenu huko. Asubuhi kauza anaondoka Hao wadudu wote hapo☝️ Huwakuti sa mbili tu. Changu,kolekole...
  15. babukijana

    Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Wanakua wamevua hapo bagamoyo usiku kucha. Samaki wengi pale ni rasi ya kusini kabla hata kilwa wanarudi na mzigo wa kutosha..
  16. babukijana

    Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Mwongo wewe, samaki wa Zanzibar wanaishia Forodhani pale. Tunawaletea nyama Umeme Unga Mchele Mihogo Mboga karibia zote. Ni nazi tu zipo huko
  17. babukijana

    Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

    Kuna tatizo gani? Wanawake karibia wote wamezaa au kutoa mimba. Nyie ndo mnapiga magoti kuvalisha Pete huku watu washatumia hiyo malighafi miaka na miaka. Mpende mamaako basi.
  18. babukijana

    Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Huo muda kuanza kutuma hela kwa amber ruty sijui mtu anatoa wapi? Wapambane tu na hali zao. Huku tunahangaika na Hidaya Haya mengine itakua mwamvua ama nini?
Back
Top Bottom