Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

Umeguswa changiq, haina haja ya kumkandia, sasa huyu amber ruti ana dalili ya ukwasi gani masikini, ye mwenyewe alikuwa anagawa rinda ili maisha yaende. Japo pia siwezi mchangia, ila usimkamdie.

Kuna wale mashauzi, mara natumia milioni 20 kwa wiki, kwa wale wakandie, siwezi kuchanga.

Kuna mmoja kaenda kufanya operation ya kuongeza tako na kupunguza tumbo. kaKUFIA huko huko turkey, nasikia familia inataka mchango wa dola 4500 mwili urudi, hapa sina unafiki siwezi kuchanga.

Kifupi mie KISENTI changu kinatoka kwa mtu mwenye uhitaji kweli kweli, sio hawa miyeyusho.
Umeandika kwa uchungu sana.

Wasanii wenzie i hope hawatamwangusha
 
Binadamu yeyote anastahili msaada anapopata matatizo kutoka kwa wale wenye moyo wa kumsaidia.

Kama ishu ni kupelekewa moto wanawake wengi wanapelekewa moto na wengine tunawaheshimu tukiwa hatujui mambo yao ya ndani. Wengine wanaonekana wachamungu kanisani na msikitini lakini hawana tofauti na Amber Rutty kwenye mambo ya siri.

Kama ishu eti ni life style ya kisanii ndio inakufanya uone hastahili msaada basi jua kwamba kuna watu sio maarufu na wana pesa kuliko hao wasanii. Acha wamchangie. Wewe kausha.

Na wengine ambao wanaona msaada hauna uhusiano wowote na madaraja ya kiuchumi basi watakuwa tayari kuchangia 1000 au 500 zao. Waache wachangie. Achana na negative comments. Just kausha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom