Ndoa yangu inateketea

Pole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...

Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.

Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.

Kila la kheri...
🤣🤣🤣
 
Pole sana mkuu, ila niseme ukweli hili halihitaji kuomba ushauri kwakweli, labda kwakua mimi kidogo akili yangu sio kubwa sana mazee...
Anyways, mlifikia wapi??
 
Mkuu kuna hii mashine huwa nakodisha kwa siku nzima bei nafuu sana inakuja na offer ya risasi saba. Ukipenda unicheki
images - 2024-05-04T134656.799.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom