Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Any medical tour to uturuki inayohusu upasuaji hutopata kibali cha kusafiri UK. ila ukienda kimpango wako it's up to you. Usiropoke usiyoyajua. Unaishi wapi UK?

Unapotaka kusafiri kutoka UK kwenda Uturuki kuongeza makalio unamwomba nani kibali cha safari ya kuingia Uturuki, serikali ya UK au serikali ya Uturuki ?

Na unaposema hutapaka kibali unless unaenda "kimpango wako," ni kwa nini uombe kibali kama unaruhusiwa kwenda "kimpango wako" ??????
 
acha uongo wewe....

nchi za dunia ya kwanza hazitawaliwi na marufuku za RPC Muliro...
Mwingereza anaetaka kwenda popote kufanyiwa chochote anakwenda, yatakayomfika huko shauri yake.... Raia wa UK umpige marufuku kufanya anachofanya akiwa kwenye safari zake nje ya nchi ??? Are you a dope fiend ?...Yani mi diaspora yetu imekalia kufagia ma vyoo ya wazungu, haijui kusoma wala kuandika wala kufuatilia news za huko, hawajui chochote kinachoendelea nchi wanazoishi ...masikini ya mungu
We wa wapi? Turkey sio England ni linchi la ajabu tu.
Mara3 sijaenda kufanyiwa surgery kwa ajili yao.
 
Unapotaka kusafiri kutoka UK kwenda Uturuki kuongeza makalio unamwomba nani kibali cha safari ya kuingia Uturuki, serikali ya UK au serikali ya Uturuki ?

Na unaposema hutapaka kibali unless unaenda "kimpango wako," ni kwa nini uombe kibali kama unaruhusiwa kwenda "kimpango wako" ??????
Safety is the first reason kama unaenda kwaajili ya matibabu popote pale.
Shughuli kama hizo uk utahitaji specialist cover. Kwa lolote litalotokea. Hivo, Wengi smart huomba vibali. 99%.
Na wengi huambiwa waende france.
I have a real example ya mtu wa karibu ninayemfahamu.
 
R.i.P Classmate.....😥
Tako lime fanya aibu kwenye msiba wako..🤣
Sijui kwenye mazishi yake watasemaje chanzo cha kifo cha marehemu.

Hivi kabla ya operation si huwa wanajua kuna uwezekano wa kufa kama mambo yataenda tofauti? Kama hilo lipo wazi wanapoenda waende na bajeti kubwa zaidi itakayomudu kusafirisha mwili endapo kama kifo kitatokea ili kuepusha usumbufu.
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Jambo zuri sana hili,litawafunza wengi Wanawake wenye akili za pimbi kama huyo mjinga aliyekufa.
 
Sijui kwenye mazishi yake watasemaje chanzo cha kifo cha marehemu.

Hivi kabla ya operation si huwa wanajua kuna uwezekano wa kufa kama mambo yataenda tofauti? Kama hilo lipo wazi wanapoenda waende na bajeti kubwa zaidi itakayomudu kusafirisha mwili endapo kama kifo kitatokea ili kuepusha usumbufu.
Ni ujinga wa hali ya juu, tuwafunze watoto wetu kujikubali na kujiamini
 
Acha kujihesabia haki,ninyi watu mliopandikizwa hizi dini za wazungu na waarabu mnapenda sana kujiona ni wema na huyo mungu wenu kumbe ni ubatili tu,mungu wa biblia na Qur'an ni tafauti sana na Mungu halisi,endelea kujilisha upepo
Mungu halisi ni yupi mkuu???? ufafanuzi tafadhali.
 
Back
Top Bottom