buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 430
- 764
aah nmekumbuka mbali sana nlipoona this thread
nilikua nmekwenda kuogerea back then nikiwa na like 15 years old tu , basi this side tuko girls, ile ingine boys, basi kulikua na michezo mingi sana kwa maji. sikua najua kuogelea but si unajua tena utoto kujifanya najua.
mchezo umenoga aah girls tulivo wajinga boys wakatuita, kumbe side yao kuna maji mengi kiasi, aki venye tunaendelea kuswim kuna dem akanipush side ingine
iko na more waters , nikajaribu kurudi juu nashindwa, nilistruggle sana hadi nikaishiwa nguvu kabisa niko nazidi kuzama chini, nkasema im dying leo, siezi lia wala kupiga kelele ndani ya maji
ghafla nikaona mtu mmoja kaingia hadi chini kabisa nilikofika akanishika akanivuta juu, kifupi i didnt know what happened next cas wanasema nilifaint, kuamka niko hospital, nilishkuru sana
imagine kumbe aloniokoa ni mtu tu mbaba alikua ako busy na mambo yake, akaona vigirls na viboys vinapiga kelele kwa swiming na hakuna mtu mkubwa ndo akajirusha kwa maji akiwa amevaa smart kabisa sa suit but hakujali , akawafokea mnashindwa kuokoa mwenzenu anazama, akifa? ndio yeye akajirusha kuniokoa
sadly sikuwahi mjua wala kumuona after, niliulizia sana na mom pia alitaka amjue amshukuru, but everyone anasema was just a stranger wala hata hawaelewi alitokea wapi.
another sad story
same place, same swiming baada ya 1 week wakafa 3 boys na walizama hadi chini, na wamekuja kukutwa after 3 hours baada ya mmoja kuja kuitwa na mother akr waondoke anamtafta hamuoni na hao friends wake
hadi leo sijawah sahau