Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

Miss Champagne

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
2,312
6,824
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach.

Kipindi nasoma nna kama miaka 17
niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti sababu Sina nguvu maji yakanizidi nguvu yananisukuma kwenda ndani.

Nikitaka kurudi ufuoni Yale mawimbi yanayorudi toka ufuoni (ufukweni) yananisukuma na kunirudisha kwenda ndani zaidi nlipoteza nguvu sababu ya kushindwa kupumua vema, nikajikuta nimekaa kitako chini ya maji.

Akili ikaniambia unaenda kufa Binti fumbua macho utoke nje sio mbali sana maana nilipoteza uelekeo sijui niende kulia au kushoto, sijui ufuoni kuko upanda gani tena nikichelewa nitazimia Kwa kukosa pumzi nilikuea naenda huku najiona, najiambia ndio basi Tena.

Nlivyofumbua macho naona upande mmoja uko deep giza kunatisha, upande wa pili angalau Kuna mwangaza Kwa juu nikaanza kutambaa Kwa kushikilia miamba chini maana nikisimama nguvu Sina wimbi litaanirudisha Tena kulekule.

Hatimaye nikatokea nje huku nimechubuliwa miguu inavuja damu. Mpaka Leo sigusi kamwe maji.

Kama huna nguvu usiingie kwenye maji.
 
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti
sababu Sina nguvu maji yakanizidi nguvu yananisukuma kwenda ndani.nkitaka kurudi ufuoni Yale mawimbi yanayorudi toka ufuoni (ufukweni) yananisukuma na kunirudisha kwenda ndani zaidi.nlipoteza nguvu sababu ya kushindwa kupumua vema,nkajikuta nimekaa kitako chini ya maji.
Akili ikaniambia unaenda kufa Binti fumbua macho utoke nje sio mbali sana.maana nlipoteza uelekeo sijui niende kulia au kushoto,sijui ufuoni kuko upanda gani tena.nkichelewa ntazimia Kwa kukosa pumzi.nlkua naenda huku najiona,najiambia ndo basi Tena.
nlivofumbua macho naona upande mmoja uko deep giza kunatisha,upande wapili angalau Kuna mwangaza Kwa juu nkaanza kutambaa Kwa kushikilia miamba chini maana nkisimama nguvu Sina wimbi litaanirudisha Tena kulekule.
Hatimaye nikatokea nje.huku nimechubuliwa miguu inavuja damu.
Mpaka Leo sigusi kamwe maji.

Kama huna nguvu usiingie kwenye maji.
Mungu bado ana jambo na wewe.
 
Nilizama kwenye swimming pool!
Niliona kifo hiki hapa...!
Ghafla nikahisi kuna mikono inanishika nikatulia mpaka nilipoona jua linanipiga nilipofungua macho nikaona nimeokolewa na mtoto wa kiarabu umri wake hauzidi 10yrs.
 
Mgodini huko Lwamgasa Geita, nilikuwa shimoni nachoronga mwamba, kumbe huko juu kuna sehemu ilikuwa na ufa wa muda mrefu tu, kutokana na milipuko ya mara kwa mara hiyo sehemu ufa ukawa unazidi kutokea.

Siku hiyo nikapiga kazi mimi na jamaa yangu(rip Mangu aka ntuzu man)ghafla udongo ukaanza kudondoka kidogo kidogo kiasi cha kutokuhofia chochote.

Machale yakanicheza nikamwambia mshkaji wangu tupande, mimi nikatangulia yeye akawa ananifata kwa juu, nikaivuka ile sehemu yenye ufa kwa umbali kama wa mita 4 hivi, ile nimevuka tu nikasikia muungurumo mkubwa sana kumbe ni ile aridhi inaporomoka, ikawa imeshuka na mshkaji wangu mpaka chini kama mita 35 kutokea pale, nilipanda juu kwa kasi ya 5g huku nikiwa nimerukwa na akili kwa kile nilichokiona.
 
Nilipata ajali, 2017 nilikuja kufungua macho siku nne mbele. Nilichokuwa nakumbuka ni pale roli la mchanga lilipokuwa linakuja mbele yangu, Kutugonga tulikuwa kwenye gari ndogo, nakumbuka kuchomoka kwenye kiti kuvunja kioo cha mbele na kutoka kama mshale au kuruka, (kioo) cha mbele.

Nikafikia barabara, nikabingirika nikakutana na yale machuma ya pembezoni mwa barabara, nikagonga mgongo, nikaunda mpaka pembezoni nikakutana na mti, nikaufikia na mgongo nao.

From there, kitu pekee nilisema Kaka yangu hayupo mbali na hapo, aitwe, na sikuweza ongea tena. Only that.

Fuso ilipiga upande wa dereva Mbezi temboni opposite kilimani bar, nawashukuru sana enzi zile watu walikuwa fasta, niliambiwa kupitia siimu yangu kaka yangu alipigiwa akafika na kunipeleka Bochi. Enzi hizo hospital bado mbichi. Pale kifo kilikuwa tayari ila moyo ulipigana sana.
 
Mgodini huko lwamgasa geita,nilikuwa shimoni nachoronga mwamba,kumbe huko juu kuna sehemu ilikuwa na ufa wa muda mrefu tu,kutokana na milipuko ya mara kwa mara hiyo sehemu ufa ukawa unazidi kutokea. siku hiyo nikapiga kaz mimi na jamaa yangu(rip mangu aka ntuzu man)ghafla udongo ukaanza kudondoka kidogo kidogo kiasi cha kutokuhofia chochote. Machale yakanicheza nikamwambia mshkaji wangu tupande,mi nikatangulia yeye akawa ananifata kwa juu,nikaivuka ile sehemu yenye ufa kwa umbali kama wa mita 4 hivi,ile nimevuka tu nikasikia muungurumo mkubwa sana kumbe ni ile aridhi inaporomoka,ikawa imeshuka na mshkaji wangu mpaka chini kama mita 35 kutokea pale,nilipanda juu kwa kasi ya 5g huku nikiwa nimerukwa na akili kwa kile nilichokiona.
HATARI SANA.
 
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti
sababu Sina nguvu maji yakanizidi nguvu yananisukuma kwenda ndani.nkitaka kurudi ufuoni Yale mawimbi yanayorudi toka ufuoni (ufukweni) yananisukuma na kunirudisha kwenda ndani zaidi.nlipoteza nguvu sababu ya kushindwa kupumua vema,nkajikuta nimekaa kitako chini ya maji.
Akili ikaniambia unaenda kufa Binti fumbua macho utoke nje sio mbali sana.maana nlipoteza uelekeo sijui niende kulia au kushoto,sijui ufuoni kuko upanda gani tena.nkichelewa ntazimia Kwa kukosa pumzi.nlkua naenda huku najiona,najiambia ndo basi Tena.
nlivofumbua macho naona upande mmoja uko deep giza kunatisha,upande wapili angalau Kuna mwangaza Kwa juu nkaanza kutambaa Kwa kushikilia miamba chini maana nkisimama nguvu Sina wimbi litaanirudisha Tena kulekule.
Hatimaye nikatokea nje.huku nimechubuliwa miguu inavuja damu.
Mpaka Leo sigusi kamwe maji.

Kama huna nguvu usiingie kwenye maji.

Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti
sababu Sina nguvu maji yakanizidi nguvu yananisukuma kwenda ndani.nkitaka kurudi ufuoni Yale mawimbi yanayorudi toka ufuoni (ufukweni) yananisukuma na kunirudisha kwenda ndani zaidi.nlipoteza nguvu sababu ya kushindwa kupumua vema,nkajikuta nimekaa kitako chini ya maji.
Akili ikaniambia unaenda kufa Binti fumbua macho utoke nje sio mbali sana.maana nlipoteza uelekeo sijui niende kulia au kushoto,sijui ufuoni kuko upanda gani tena.nkichelewa ntazimia Kwa kukosa pumzi.nlkua naenda huku najiona,najiambia ndo basi Tena.
nlivofumbua macho naona upande mmoja uko deep giza kunatisha,upande wapili angalau Kuna mwangaza Kwa juu nkaanza kutambaa Kwa kushikilia miamba chini maana nkisimama nguvu Sina wimbi litaanirudisha Tena kulekule.
Hatimaye nikatokea nje.huku nimechubuliwa miguu inavuja damu.
Mpaka Leo sigusi kamwe maji.

Kama huna nguvu usiingie kwenye maji.
Pole sana me nayaogopa maji MNOOO siyagusi
 
Nilipata ajali, 2017 nilikuja kufungua macho siku nne mbele. Nilichokua nakumbuka ni pale roli la mchanga lilipokua linakuja mbele yangu, Kutugonga tulikua kwenye gari ndogo, nakumbuka kuchomoka kwenye kiti kuvunja kioo cha mbele na kutoka kama mshale au kuruka, (kioo) cha mbele. Nikafikia barabara, nikabingirika nikakutana na yale machuma ya pembezoni mwa barabara, nikagonga mgongo, nikaunda mpaka pembezoni nikakutana na mti, nikaufikia na mgongo nao.
From there, kitu pekee nilisema Kaka yangu hayupo mbali na hapo, aitwe, na sikuweza ongea tena. Only that.
Fuso ilipiga upande wa dereva mbezi temboni opposite kilimani bar, nawashukuru sana enzi zile watu walikua fasta, niliambiwa kupitia siimu yangu kaka yangu alipigiwa akafika na kunipeleka bochi. Enzi hizo hospital bado mbichi. Pale kifo kilikua tayari ila moyo ulipigana sana.
Dah aisee pole sana
 
Ulitibiwa kwa muda gani, mgongo haukuathirika sana?
 
Back
Top Bottom