Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,797
- 21,232
[blue]Wapo wachache huko zanzibar wanaakili kisoda, useless, aidha wamedata akili, same to hapa bara wapo waliodata akili na solutions wanaona bora chadema iingie LABDA hali itakuwa nzuri, kumbe maisha yameshikwa na BIDII, UBUNIFU, na UCHAPAKAZI.[/blue]Sasa muungano gani unayenufaisha upande mmoja tu? Hao wanzanzibar wenyewe ukiwauliza vipi muungano wanaukataa licha ya faida hizo wanazonufaika nazo, wakiamini kuwa wakiwa nje ya muungano kuna manufaa zaidi!!