Nimemuona mwizi mahali ninapoishi

Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.

Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikakojisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.

Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.

Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.
Wewe alikuona wakati anatoka humo chumbani? Ulimwona akiwa amebeba?
 
Jipe tu usalama wako,Mchane alone mwambie unazingua uliiba vile vitu nikikuona.Ukija kwangu ntakusanua ushahidi ninao kisha achana nae.

Hapo utakua umejilinda.Usibebe mzigo usio stahili.
 
Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.

Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikajisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.

Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.

Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.
Alivunja mlango
 
Hao wawili ni wapenzi sema huyo jamaa ni mpenzi mwizi. 😁Ana tamaa na mali zisizo zake au huenda washatibuana kaamua amkomeshe kwa kuchukua alivyomuhonga.
 
Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri.

Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikajisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye ana chumba chake) anatoka chumbani kwa mwingine ambaye ni mdada na alikuwa hayupo kasafiri.

Leo huyo dada karudi kakuta kaibiwa sabufa na godoro.

Je, niseme nilimuona huyu jamaa anatoka chumbani kwake au nikaushe nisionekane snichi mazee. Nishaurini kabla sijafungua mdomo wangu😁.
sema tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom